Weekend ndefu around the corner.Ijumaa-Jnne

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Hapa ni mwendo wa kula bataa kwa wale wa pay cheki kazini jumanne na hivi Dar kuna kamvua kujamiiana kwingi miezi Tisa baada ya sasa vibendi. Uzi tayari
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama huna ela kama mimi ni bure kabisa hiyo weekend ndefu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama huna ela kama mimi ni bure kabisa hiyo weekend ndefu
 
Natafuta mwanamke wa kusokotana nae na hali hii sasa hivi.
 
hali ya hewa inasumbua viungo kwa baridi ehh
 
Yaanii mefurahii mimi, na hizi mvua nitaandaa bustani ya mboga na kuotesha kabisaa!
 
Yaanii mefurahii mimi, na hizi mvua nitaandaa bustani ya mboga na kuotesha kabisaa!
Utaandaa bustani.....ha ha haa
safi sana....
mm nitakuja kulima...
kwa consent/ruhusa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…