Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Aisee wiki inaisha na mwezi unaisha, kwa huku Marekani hapa nilipo leo kuna mechi kubwa sana ya American Football, kwa hiyo ofisi nyingi zimefungwa saa sita mchana. Na kuanzia hapo ni wadau tu wanaweka mabango ya kufanya burudani zao.
Maisha ni tofauti sana, tangu saa sita ndege mbili zinazurura angani kutangaza hiyo mechi. Mimi mtoto wa kijijini huko nawaza kama siku Simba na Yanga wataweza kutumia ndege kuhamasisha. Folenii imekuwa kubwa sana, yaani ni tukio ambalo wenyewe wanalipenda, kwa hiyo wako nalo vyema. Ni American Soccer, sio ile ya kama ligi za Ulaya.
Wiki inakuwaje ndefu! Jumatatu ni siku kubwa sana kwa Marekani, itakuwa tarehe mbili ambayo ni Labor Day kwa Marekani. So naona masiku ni mengi kukaa ndani kutulia. Tangu awali kukaa ndani kunakuwa kunakera sana.
Kwa sisi wadau ambao kukaa ndani tunakereka huwa tunatamani kuwa kwenye mishemishe za kuweka mambo sawa. Ila anyway, nitaangalia Netflix kama itaniondolea upweke mzee wenu.
Ndimi Prof Janabi wa JF,
Mshamba kutoka Tz anayewakilisha taifa Marekani