Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
hapa bwan,umetupiga kwenye mshono ila ni ukwel.
naunga mkono hoja,,hao ni vilaza waliokubuhu,wabanikwe mwaka mpya wote.Nimeona tukumbushane vijana wanawasahau sana wazazi wao, dada zao, kaka zao, wadogo zao sometimes hata marafiki zao wa utotoni ambao bado hawajajipata wanaspend kwa mwanamke ambaye hata hajamuoa eti girlfriend.
Wengine hawakumbuki hata lini mara ya mwisho waliwacheki na mtonyo bi wakubwa zao ila kimalaya simu moja tu muhamala huo
Send your mother some money. She deserves it and more
mtuhurumie jamaniWakisimama nchale, wakiinama nchale, wakikaa nchale, wakikubali nchale na wakikataa pia nchale 🔥🔥🔥
Mtakula pesa zenu wenyewe 🔥🔥🔥🔥mtuhurumie jamani
umenena vyema mkuu,ushauri mzuri sana.Acha ujinga wewe
Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe out, mtumie mama yako. Kumbuka kila wakati;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
—Mama
Ni bora kuliko
"Woow tnx babe nimeiona love u."
—[SIZGirlfriend[/SIZE]
Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.
If you die today, she'll visit your funeral with a new man.
Learn or perish
Haina shidaMtakula pesa zenu wenyewe 🔥🔥🔥🔥
Mama ndo mtu pekee mwenye unconditional love kwako hapa duniani, hakuna mwingine hata mzee wako anakupenda conditionally ni mama tu duniani anaeweza kukuvumilia katika hali yyt ata kama ni mzigo huwa anaubeba tu.Acha ujinga wewe
Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe out, mtumie mama yako. Kumbuka kila wakati;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
—Mama
Ni bora kuliko
"Woow tnx babe nimeiona love u."
—Girlfriend
Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.
If you die today, she'll visit your funeral with a new man.
Learn or perish
Huu ni uongo, labda unazungumzia familia unayotokea...Mama ndo mtu pekee mwenye unconditional love kwako hapa duniani, hakuna mwingine hata mzee wako anakupenda conditionally ni mama tu duniani anaeweza kukuvumilia katika hali yyt ata kama ni mzigo huwa anaubeba tu.
Amen 🙏umenena vyema mkuu,ushauri mzuri sana.
Mama ndo mtu pekee mwenye unconditional love kwako hapa duniani, hakuna mwingine hata mzee wako anakupenda conditionally ni mama tu duniani anaeweza kukuvumilia katika hali yyt ata kama ni mzigo huwa anaubeba tu.
Ushauri mzuri,mwenye maskio na asikie
Alafu kingine mwanamke mnaweza kuachana lakini mama yako hamuwezi kuachana ndo maana mm huwa sipendagi kwa asilimia zote maana hawa wanawake wanabadilika,hata mke wng analijua hilo m huwa npo fifty fiftyNdiye mwanamke pekee duniani anayekupenda kwa jinsi ulivyo na sio kile unachoweza kuoffer
Kamwe usichague mwanamke yeyote juu yake
Always remember your woman is replaceable while your mother is irreplaceable
Mistake kubwa ambayo wengi wamjetutia ni kutowajali wazazi wao wakiwa hai siku wakifa anabaki kujihukumu ningejua
mtuhurumie jamani
Alafu kingine mwanamke mnaweza kuachana lakini mama yako hamuwezi kuachana ndo maana mm huwa sipendagi kwa asilimia zote maana hawa wanawake wanabadilika,hata mke wng analijua hilo m huwa npo fifty fifty