Weekend ndio hiyo wapi kinahappen?

Weekend ndio hiyo wapi kinahappen?

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Acha ujinga wewe

Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
Mama

Ni bora kuliko
"Woow thx babe nimeiona love u."
Girlfriend

Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.

If you die today, she'll visit your funeral with a new man.

Learn or perish
 
hapa bwan,umetupiga kwenye mshono ila ni ukwel.
Nimeona tukumbushane vijana wanawasahau sana wazazi wao, dada zao, kaka zao, wadogo zao sometimes hata marafiki zao wa utotoni ambao bado hawajajipata wanaspend kwa mwanamke ambaye hata hajamuoa eti girlfriend wtf.

Wengine hawakumbuki hata lini mara ya mwisho waliwacheki na mtonyo bi wakubwa zao ila kimalaya simu moja tu muhamala huo

Send your mother some money. She deserves it and more
 
Nimeona tukumbushane vijana wanawasahau sana wazazi wao, dada zao, kaka zao, wadogo zao sometimes hata marafiki zao wa utotoni ambao bado hawajajipata wanaspend kwa mwanamke ambaye hata hajamuoa eti girlfriend.

Wengine hawakumbuki hata lini mara ya mwisho waliwacheki na mtonyo bi wakubwa zao ila kimalaya simu moja tu muhamala huo

Send your mother some money. She deserves it and more
naunga mkono hoja,,hao ni vilaza waliokubuhu,wabanikwe mwaka mpya wote.
 
Acha ujinga wewe

Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe out, mtumie mama yako. Kumbuka kila wakati;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
Mama

Ni bora kuliko
"Woow tnx babe nimeiona love u."
[SIZGirlfriend[/SIZE]​

Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.

If you die today, she'll visit your funeral with a new man.

Learn or perish
umenena vyema mkuu,ushauri mzuri sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20241025-204401.jpg
    Screenshot_20241025-204401.jpg
    81.2 KB · Views: 1
Acha ujinga wewe

Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe out, mtumie mama yako. Kumbuka kila wakati;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
Mama

Ni bora kuliko
"Woow tnx babe nimeiona love u."
Girlfriend

Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.

If you die today, she'll visit your funeral with a new man.

Learn or perish
Mama ndo mtu pekee mwenye unconditional love kwako hapa duniani, hakuna mwingine hata mzee wako anakupenda conditionally ni mama tu duniani anaeweza kukuvumilia katika hali yyt ata kama ni mzigo huwa anaubeba tu.
 
Huu ni uongo, labda unazungumzia familia unayotokea...
Kuna wazee wana love sana watoto tena kuzidi hata mama...

Kikubwa tupende wazazi wote, tuwajali wote kwa usawa...

Hizo story za kumsikiliza mama anakumbia story za baba yako alikua hatoi pesa za matumizi na kunywa pombe ni wamama wengi sana huwadanganya watoto wao... Hio yote aonekane ye ndiye wa thamani... Wakati mtafuta pesa alikuwa mzee...

Kama kijana kuwa makini na tumia akili...

Utakuja kugundua ukweli its too late, asili ya wazee huwa hawaongei kama mama.. wamama wengi kwa kujipakulia minyama na kujisifu walivyopambana kuku kuza hawajambo...

Japo nakiri kuna familia mmoja ya wazazi huwa inatokea anakuwa na mapungufu...
 
Mama ndo mtu pekee mwenye unconditional love kwako hapa duniani, hakuna mwingine hata mzee wako anakupenda conditionally ni mama tu duniani anaeweza kukuvumilia katika hali yyt ata kama ni mzigo huwa anaubeba tu.
Umesema vyema mkuu

Girlfriend/mke anaweza kesho tu akakuacha ukifulia, umepoteza kazi, umefirisika, umepata ulemavu wa kudumu au janga lolote lingine

Mama atakuwa pembeni yako bega kwa bega ukilia atilia na wewe, atakuombea kwa Mungu akupe wepesi, atakupa maneno ya faraja wakati huo girlfriend/mke anatafuta option ya mwanaume mwingine

Ushauri mzuri,mwenye maskio na asikie
Ndiye mwanamke pekee duniani anayekupenda kwa jinsi ulivyo na sio kile unachoweza kuoffer

Kamwe usichague mwanamke yeyote juu yake

Always remember your woman is replaceable while your mother is irreplaceable

Mistake kubwa ambayo wengi wamejutia ni kutowajali wazazi wao wakiwa hai siku wakifa anabaki kujilaumu "ningejua"
 
Ndiye mwanamke pekee duniani anayekupenda kwa jinsi ulivyo na sio kile unachoweza kuoffer

Kamwe usichague mwanamke yeyote juu yake

Always remember your woman is replaceable while your mother is irreplaceable

Mistake kubwa ambayo wengi wamjetutia ni kutowajali wazazi wao wakiwa hai siku wakifa anabaki kujihukumu ningejua
Alafu kingine mwanamke mnaweza kuachana lakini mama yako hamuwezi kuachana ndo maana mm huwa sipendagi kwa asilimia zote maana hawa wanawake wanabadilika,hata mke wng analijua hilo m huwa npo fifty fifty
 
Umesema vyema

Mama hana mbadala ila mke ana mbadala

Chochote anachokufanyia mke ni kwa ajili ya her own survival

Ila chochote ambacho mama anakufanyia ni kwa your own survival
 
Back
Top Bottom