Weekend ndio hiyo wapi kinahappen?

Brother mmoja mtu wa Tanga baada ya kupata ajar na kulazwa moi muda mrefu
Mke wake mtu wa Tanga pia AKAMWAMBIA NIPE TALAKA YANGU MAANA HAUNA TENA MAAJABU mwisho wa kunukuu.
 
Brother mmoja mtu wa Tanga baada ya kupata ajar na kulazwa moi muda mrefu
Mke wake mtu wa Tanga pia AKAMWAMBIA NIPE TALAKA YANGU MAANA HAUNA TENA MAAJABU mwisho wa kunukuu.
Umeona sasa

Kuna ukweli ambao wengi hawajaujua mwanamke hata umuoe bado akilini mwake anamwazia mwanaume bora kuliko wewe.

Sasa utajuaje? Siku ufulie au akili irudi uache kumtumia gf hela za kumhudumia utajionea.

Hii ndio sababu mwanaume anatakiwa ajipende yeye kuliko mwanamke siku zote
 
Huo ni udwanzi na uchawi sasa,tena mbaya zaid tunataka muwapende zaid mama zetu kuliko mama zenu,na kuna wanaume wanafanya ivo,sjui ni kurogwa.
Tatizo wanaume wengi hawaweki mipaka mapema inapohusu mambo kama hayo wanapokuwa na wapenzi wao

Nakumbuka baba aliwahi kuniambia mwanangu wakati wa uchumba kabla ya ndoa ndio wakati wa kuzungumzia mambo muhimu kama hayo kuhusu wazazi wa pande zote mbili

Alinishauri suala la wazazi kuhudumiwa ni la kifamilia yaani watoto, ndugu ndio wana wajibu wa kwanza sio wewe.

Miaka mingi baadaye nilipofanya hivyo nikaelewa hekima ya mzee. Mke na ndugu zake ndio wanajibika kwa wazazi

Wanaume wanasahau ku-set boundaries mapema tangu urafiki na uchumba.

Wengi kipindi cha urafiki na uchumba wanataka kujimwambafai kwa wakwe watarajiwa kuwa wana vibunda, wakioa wanalazimika kuendelea pale walipoishia

Mke, wake watarajiwa na ndugu zake wanatakiww watambue mapema mipaka yako, ili wakikubali umuoe binti yao wanajua ni mwanaume mwenye misimamo gani.
 
Kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha. Vivyo hivo kila mtu ana umuhimu na majukumu yake. Usimlinganishe demu wako na mama yako wala v/v. Pesa ya beer usitumie kwa chakula na pesa ya chakula usitumie kunywea beers. Utafeli vibaya.
 
Demu/girlfriend ana nafasi gani kwenye maisha yako?
 
Sema ukimtumia mzazi, itakaa vyema zaidi kuliko kuiweka mama pekee wakati Kuna baba pia, mjomba, babu, bibi nk ambao wanaweza kutoa shukran kama hizo

Pia huwezi jua imetoka moyoni au kinywani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…