Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
🤣🤣🤣 ni mwendo wa spanamtuhurumie jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 ni mwendo wa spanamtuhurumie jamani
Brother mmoja mtu wa Tanga baada ya kupata ajar na kulazwa moi muda mrefuUmesema vyema mkuu
Girlfriend/mke anaweza kesho tu akakuacha ukifulia, umepoteza kazi, umefirisika, umepata ulemavu wa kudumu au janga lolote lingine
Mama atakuwa pembeni yako bega kwa bega ukilia atilia na wewe, atakuombea kwa Mungu akupe wepesi, atakupa maneno ya faraja wakati huo girlfriend/mke wanatafuta option ya mwanaume mwingine
si mmetuamulia fresh tu🤣🤣🤣🤣🤣 ni mwendo wa spana
Huo ni udwanzi na uchawi sasa,tena mbaya zaid tunataka muwapende zaid mama zetu kuliko mama zenu,na kuna wanaume wanafanya ivo,sjui ni kurogwa.Tatizo lenu hata tukiwaoa mnataka tuwapende kuliko mama zetu
Hii vita ni kali ila wanaondoa ujinga kwa modern men au nyie mnapenda kaka zenu wawe wanawatumia vibunda mademu zao kuliko wazazi wenu? 🤣si mmetuamulia fresh tu🤣🤣
Inasikitisha sana, hapa ndio ubapogundua wanawake ni matapeli kama matapeli wengineBrother mmoja mtu wa Tanga baada ya kupata ajar na kulazwa moi muda mrefu
Mke wake mtu wa Tanga pia AKAMWAMBIA NIPE TALAKA YANGU MAANA HAUNA TENA MAAJABU mwisho wa kunukuu.
Hatare sanaa mkuuInasikitisha sana, hapa ndio ubapogundua wanawake ni matapeli kama matapeli wengine
ni kwel ila mie wanionea,coz ni ushenzi uliochanganyikiwa kabisa 😆Hii vita ni kali ila wanaondoa ujinga kwa modern men au nyie mnapenda kaka zenu wawe wanawatumia vibunda mademu zao kuliko wazazi wenu? 🤣
Brother mmoja mtu wa Tanga baada ya kupata ajar na kulazwa moi muda mrefu
Mke wake mtu wa Tanga pia AKAMWAMBIA NIPE TALAKA YANGU MAANA HAUNA TENA MAAJABU mwisho wa kunukuu.
Huo ni udwanzi na uchawi sasa,tena mbaya zaid tunataka muwapende zaid mama zetu kuliko mama zenu,na kuna wanaume wanafanya ivo,sjui ni kurogwa.
Karibu hapa Moshi paruzri upunguze mawazo.
Ngoja simps waje.
Kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha. Vivyo hivo kila mtu ana umuhimu na majukumu yake. Usimlinganishe demu wako na mama yako wala v/v. Pesa ya beer usitumie kwa chakula na pesa ya chakula usitumie kunywea beers. Utafeli vibaya.Acha ujinga wewe
Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka;
"Asante mwanangu Mungu akubariki."
—Mama
Ni bora kuliko
"Woow thx babe nimeiona love u."
—Girlfriend
Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako anamaanisha kutoka moyoni mwake, lakini huyo malaya wako anatumia kauli hiyohiyo kumjibu kila simp anayejichanganya kumtumia pesa.
If you die today, she'll visit your funeral with a new man.
Learn or perish
Ni bora ukosee kujenga lakini sio kwenye kuoa kmmmkHatare sanaa mkuu
Kwa hiyo unataka kutuaminisha wewe hauna hizo mambo? Lipia tangazo 🤣ni kwel ila mie wanionea,coz ni ushenzi uliochanganyikiwa kabisa 😆
Kila mtu ana nafasi yake kwenye maisha. Vivyo hivo kila mtu ana umuhimu na majukumu yake. Usimlinganishe demu wako na mama yako wala v/v. Pesa ya beer usitumie kwa chakula na pesa ya chakula usitumie kunywea beers. Utafeli vibaya.
Wanafikiri uchumba ni kunyanduana tu na outingWanaume wanasahau ku-set boundaries mapema tangu urafiki na uchumba
kwan wewe unapojisifia kua unapenda bikira na kukataa single maza hua unaleta matangazo😌,, siwezi tangaza coz sipo soko I'm taken forever 😃Kwa hiyo unataka kutuaminisha wewe hauna hizo mambo? Lipia tangazo 🤣