Weekend ni siku ya kujiinjoi

itoko jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2023
Posts
1,126
Reaction score
2,537
Wanajf wenzangu habarini?

Kwanzia furahiidei ndio mwanzo wa weekend mpaka jumapili usiku sana unakuta klabu zimeejaa watu mbalimbali wanakula,kunywa na kufurahia maisha bila kusahau totoz kali kali.

Tunapenda kutumia msemo hu wa moya moto moya baridiiiii au wait ungeza another round [emoji23][emoji23]

Je, wewe kama binadamu unaependa furaha kwa sasa unajiinjoi kona gani na unatumia kinywaji gani ili kubadili ubongo na kusahau machungu ya wiki nzima?

Picha ni muhimu ili kufanya uzi uwe mtamu.
 
Hahahahah mzee ushapiga hela za kontena nini 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…