Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Njoo uchukue hela ya weekend basi manzee😀😀😀😀😀😀aah we naijua na hiyo
Njoo uchukue hela ya weekend basi manzee😀😀😀😀😀😀aah we naijua na hiyo
Mko watano hio si Spacio nzima kabisa!😀😀😀tuko wa5 tu hata sio wengi
😀😀😀😀😀😀hatuweziWaambie wao warudi. Ww njoo 😅😅
Itume kwa namba yangu tu ileile sijabadilishaNjoo uchukue hela ya weekend basi manzee
Ilibaki kidogo sana uwe utoko[emoji38][emoji38][emoji38] yes leo nataka gari iwake mapemaa
😅😅😅 Hata Novida hawapatiWaache waje uwanunulie NOVIDA moya moya total itakua 2400 pesa kidogo sana iyo
SiweziAcha ushamba bidada
Nipo tayari kuwaspoil kivyovyote watakavyotaka, ila waje wamenyoa vipara, no wigs allowed 😅😅😅😀😀😀😀😀😀hatuwezi
We don’t do wigsNipo tayari kuwaspoil kivyovyote watakavyotaka, ila waje wamenyoa vipara, no wigs allowed 😅😅😅
Rudi tena basi mrembo 🤦Nimetoka hapo muda si mrefu
AkhuuuNende tu ukachukue na mapochopocho mengne[emoji23][emoji23]
Ah wapi nishafika mbaliRudi tena basi mrembo 🤦
Hili swali niliulizwa Jana na shemej yangu (mke wa bro) eti "huku mjini watu huwa wanalala saa ngapi" nikamwambia ale maisha ya mjini ayaache huku huku mjini,j3 anarudi zake Kayenze 😂Ukiwa baadhi ya sehemu mpk unajiuliza watu wanalala saa ngapi? Kesho ni j3 je wote ni wajasiriamali au maboss?