Weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi

Na Hilo ndio limenifikirisha Sana.
.Watendaji wenye dhamana wako kimya like Hakuna kunachoendelea so wafanya biashara wanajiropokea tu Bei zao wanazozitaka...sad!
Joannah twende kwa Putin tumuombe aachane na vita, mbolea inatoka huko kwa asilimia kubwa sana...usitegemee mazao kuwa bei rahisi.

Tukumbushane October/November huko, tunaweza kuikimbia nchi.
 
Umeona kwa Nini Simpendi huyo baba yenu?Sasa hapa vita ndio kwanza miezi miwili tu Hali ndio hivyo akipiga mwaka?lakini pia sio Kuna Mambo wameyakuza kwa kisingizio Vita?
 
Umeshaanza kununiwa na nchi yako wao watamalizia tu
,😂😂😂Kazi ninayo....nitaomba wanisamehe tu my brethren an sisters from another mother,wanipokee tu huko,hapa sio.
 
Dawa ya kutibu maradhi haya kwa kudumu ni kuiondoa chchm madarakani maana tukiri hawana cha kutupa tena raia, maana raia tumepauka utahisi ni wakimbizi kumbe kikatiba kabisa ni raia wa nchii hii
Nimecheka km mwehu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa kwetu nyumbani Tanzania ndio tunalala Sasa kupumzisha mwili, Huko UGHAIBUNI ndio mnaamka sijui? anyways nitajua vizuri nikifika hukohuko....
Basi bwana, leo weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi[emoji91][emoji91]

Picha linaanza. Amita Bachani kafia kwenye maua.

Litre moja ya mafuta ya kupikia 6600

Mchele 2000@1kg

Unga wa mahindi 1600@1kg[emoji15]

Mkate 1500mdogo,mkubwa wake 3000

Tunda nyanya la kupikia 150 @1

Nyama 8000@1kg

Dagaa wa Bukoba 10000@1kg

Samaki Sato 10000@1kg

Mkononi Nina kijipesa kidunchu nilichopambana week mzima kwa jasho na damu, nikabaki nazungukazunguka humo madukani Kama mtalii kafika Zanzibar,

Nimeisikitia Sana nchi yangu nzuriii Tanzania , yenye MITO na mabonde mengi ya NAFAKA, imekumbwa na Nini nchi yangu? Ile Mito na bahari na maziwa hayazalishi Tena samaki? vipi kuhusu mabonde yetu hatuna Tena nafaka?

jamani mkate 1600tsh na wasivyo na huruma wamepunguza tuvipande tuwili, usiulize nimejuaje Mimi Ni mama najua!!

Jamani unga wa mahindi ndio 1600 kweli? au ndio wamechanganya na soya kidogo ndani yake? Hapana kwa kweli.

Jamani, ndugu zangu wa Tanzania haya mambo yanaanzaga hivi hivi , hatua thabiti zisipochukuliwa mapema tukifika mwakani miezi Kama hii Ndio tutajua hatujui.

Basi Mimi kama Mimi,nimeamua kwenda nchi za mbalii hukooo ughaibuni, watanzania wenzangu mnipokee jamani , hii nchi hii wabaki wenye mizinga ya nyuki. Niko hapa Nina hasira zangu nasearch search niende zangu nchi gani kwenye fursa. SIELEWIII[emoji2962][emoji2962][emoji2962]

NB: MY HEART IS BLEEDING FOR MY MAMALAND
Wasukuma kwanini mnateseka hivi?
 
Mmeambiwa muhamie Burundi
 
Sasa mbadala wao Nani?maana Mwenyekiti wa Chadema kawaasa BAVICHA wasiwatukane UVCCM maana Ni ndugu zao...yaani ukichiimba hii kauli kiundani mwenyekiti nae kakabhiwa mzinga analamba asali yake,hataki kelele.....
Muhasis wa haya yote ni Jiwe
 
Back
Top Bottom