Weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi

Na Hilo ndio limenifikirisha Sana.
.Watendaji wenye dhamana wako kimya like Hakuna kunachoendelea so wafanya biashara wanajiropokea tu Bei zao wanazozitaka...sad!
Joannah twende kwa Putin tumuombe aachane na vita, mbolea inatoka huko kwa asilimia kubwa sana...usitegemee mazao kuwa bei rahisi.

Tukumbushane October/November huko, tunaweza kuikimbia nchi.
 
Joannah twende kwa Putin tumuombe aachane na vita, mbolea inatoka huko kwa asilimia kubwa sana...usitegemee mazao kuwa bei rahisi.

Tukumbushane October/November huko, tunaweza kuikimbia nchi.
Umeona kwa Nini Simpendi huyo baba yenu?Sasa hapa vita ndio kwanza miezi miwili tu Hali ndio hivyo akipiga mwaka?lakini pia sio Kuna Mambo wameyakuza kwa kisingizio Vita?
 
Umeshaanza kununiwa na nchi yako wao watamalizia tu
,😂😂😂Kazi ninayo....nitaomba wanisamehe tu my brethren an sisters from another mother,wanipokee tu huko,hapa sio.
 
Dawa ya kutibu maradhi haya kwa kudumu ni kuiondoa chchm madarakani maana tukiri hawana cha kutupa tena raia, maana raia tumepauka utahisi ni wakimbizi kumbe kikatiba kabisa ni raia wa nchii hii
Nimecheka km mwehu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasukuma kwanini mnateseka hivi?
 
Mmeambiwa muhamie Burundi
 
Sasa mbadala wao Nani?maana Mwenyekiti wa Chadema kawaasa BAVICHA wasiwatukane UVCCM maana Ni ndugu zao...yaani ukichiimba hii kauli kiundani mwenyekiti nae kakabhiwa mzinga analamba asali yake,hataki kelele.....
Muhasis wa haya yote ni Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…