Weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi

Usituache wenyewe... .
 
Mkuu Joannah andaa kibunda Alafu uondoke tuu





Ila ukija nipitishie dagaa wa Mwanza hapa Ontario
 
Mkuu usijali,siku hizi tunachukua wa Bukoba hawana mchanga hata mmoja hakika nitakupitishia....
Shukrani Mkuu na ukiondoka usigeuke nyuma kama Mke wa Ruthu
 
By the way wewe ni wa kishua sana..... Kuna vyakula kibao hapo ulivyotaja wenzako washavisahau sasa hadi sikukuu ijayo 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…