Weekend ntavaa jezi ya Mamelodi aje mtu aniguse

IMG-20240324-WA0166.jpg
 
Mimi na wenzangu tumrshanunua jezi za Mamellod na tutazitinga ,natamani mtu abiguse ilu saa mbili nionekane kwenye taharifa ya habari na front page za magazeti ya kesho yake
Akuguse mtu unuke
 
Watanzania hasa mashabiki wa simba wana hamu ya kuvaa jezi ya Mamelody
 
Back
Top Bottom