Igweeeeeeeee!!!
RIP WARUMI! ( Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! )
Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So relax! And yes nimerudi kudanga humu like i never left!
Mambo ni mengi, Ubuyu ni mwingi! Na sinaga kazi mbovuuu! Ukiona biography Jua tu $$$$$ sio shida zetu kwenye story zetu!
Hii sio story tuelewane! Ni biography! TRUE EVERY LINE EVERY DETAILS! Mpaka nimerudisha papito humu baada ya kuizunguka dunia nzima! Mjue humu ni mgodiiii! Sahivi nakomaaa mpaka miele week!
WHO IS WOMAN OF THE PEOLE? HUMU MMU NI NANI? ANA UHUSIANO GANI NA MAN OF THE PEOPLE! KATOKEA WAPI NA KAPATAJE HIZO $$$ 20,000!
Nyani Ngabu kwa $$$ 1000 tu nakuwa chawa wako pro max! Na wewe unatajwa sanaaa kwenye list ya WOMAN OF THE PEOPLE! Kunywa panadol mapemaaa!
THE FULL BIOGRAPHY OF THE BADDEST ONE AND ONLY WOMAN OF THE PEOPLE COMMING SOON( LEO LEO) Kunirudisha humu niandike gazeti kaonesha jeuri ya pesa! Kanambia only you can write my Biography! Talk your number! Jamaniiii! Yule yule mchovu mwenzetu!
USIBANDUKE!