Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Mfyuuu zake

Of coz watoto lazima iwaume thinking kwamba baba ana familia yake nyingine anayoipenda na anaishi nayo, sisi ni wa akiba tu
 
Unamtelekeza mlokole au unaamua kufuata nyayo zake?
Huwezi kuacha kumuunga mkono nduguyo[emoji2] [emoji2]

Afu nina kesi na Lara kanisababishia cm kuvunjwa jana usiku[emoji2] [emoji2] mwenye mali anasubiria mpapaso lara kaniteka na story yake.
 
Io scene yake na mercy dizain kama ilishawahi kunitokea na mm.. Ila nikaiwahi mapema ikawa mpira ni wakurushwa hahaaa.. Ila now as i read this low key najuta.. Who knows lbd ningebadilishiwa gari pia.. Heheee io inaitwa iga uchanikee
 
Niggas ain't shit.... hutakiwi kumuharibia mwana... ingia, piga saundi, jisevie usepe.... sasa stry za he wont amount to nothing zinatokea wapi...
 
ila huyu jamaa kanizidi kidoooogo tu kwenye ulokole.

kwa kiasi cha ulokole wangu mdogo sijui kama ingefika hata hiyo saa 5 usiku, ila the 'Man of People' kajjitahidi mpaka saa 11 asubuhi......!!!
 
Sio kwa ufunguaji wa zipu huo ... Sitaki kujua story itaisha hajaumwa ugonjwa wa zinaa uliosababisha kuliwa kwa sehemu zake za siri na hivyo kushindwa kuneng'eneka


Aaah lazima utakua kiongozi wa team roho mbaya. Sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…