Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Khaaa not to that extent bana

It's not like we hate him, but tunawish apatwe kidogo ili aache umaaluni wake atulie na mkewe. Kuna mke anayependa kumshare mumewe, au baba watoto wako akuache wewe then akaoe kwingine na kuishi happily ever after? Of coz we loved him alivyokuwa ametulia na his 1st wife, ile misimamo yake ya mwanzoni unaishia kusema "I wish". Ila sio kwa ufedhuli wake wa sasa hivi
Of course yes.....
 
Worst enough MOTP ana kismati cha kupendwa na wadada na alivyo mtu safi huwa ana jitahidi sana kuwakwepa lkn inashindikana. Hana cha kulaumiwa mzee baba, angekuwa anawatongoza kweli angestahili lawama. Ila mzee MOTP Kama Lara1 hujamla nahamia team roho mbaya maana najua kumpa stori yako ilikuwa gia tu ya kumuweka kwenye himaya yako ajitongozeshe. [emoji23][emoji23]

Kama haujamla roho itaniuma Mimi ujue maana vocha ya laki 3 mzee!! Kweli huko EAC mnatafuna kodi zetu haswa
 
A2G I must admit ulipotokea sikujui ila kwa tunavoendaaa, wewe ni MAN OF THE PEOPLE DAMU DAMUUUU. Na sitaki kuamini wanaume mme stick together with man of the people kimya kimyaaa. Maana siwaoni mkisema lolote juu ya ufirauni wa huyu MOTP. Nina uhakika mna mpa support ya nguvu kimya kimya
jamaa hakuwa muhuni, sema mazingira ndio yanafanya yatokee yanayotokea.....
 
MOTP anatuwakilisha wanaume wengi sana....,

sidhani kama sisi ni wagumu kiviiile kama ule upande mwingine.

wengi ni lack of opportunities au kujiweka mbali na opportunities purposely.

ila ukiingizwa kwenye mitego ya hivi mmmmmh.

simlaumu MOTP kwa kufanya ila kwa kuwepo katika mtego wakati ule
 
Back
Top Bottom