Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Of course yes.....
 
Worst enough MOTP ana kismati cha kupendwa na wadada na alivyo mtu safi huwa ana jitahidi sana kuwakwepa lkn inashindikana. Hana cha kulaumiwa mzee baba, angekuwa anawatongoza kweli angestahili lawama. Ila mzee MOTP Kama Lara1 hujamla nahamia team roho mbaya maana najua kumpa stori yako ilikuwa gia tu ya kumuweka kwenye himaya yako ajitongozeshe. [emoji23][emoji23]

Kama haujamla roho itaniuma Mimi ujue maana vocha ya laki 3 mzee!! Kweli huko EAC mnatafuna kodi zetu haswa
 
jamaa hakuwa muhuni, sema mazingira ndio yanafanya yatokee yanayotokea.....
 
MOTP anatuwakilisha wanaume wengi sana....,

sidhani kama sisi ni wagumu kiviiile kama ule upande mwingine.

wengi ni lack of opportunities au kujiweka mbali na opportunities purposely.

ila ukiingizwa kwenye mitego ya hivi mmmmmh.

simlaumu MOTP kwa kufanya ila kwa kuwepo katika mtego wakati ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…