Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Mungu sio espy mama[emoji23] [emoji23]

Hahahaaa tezi dume tena? Mh haya. Mie na Tarime one itabidi tuzame tu kwenye maombi maana haina namna. Tumuombee The man of people, sio kwa kukengeuka huko.

Tatizo Lara 1 kurudisha ndege nyuma ikiwa angani ni kama kufumba na kufumbua tu...

Alituchota mwanzoni mlokole kashinda vishawishi tukasema emeeeeeen. Kilichofuata sasa
 
What doesnt kill you makes you stronger.

Yes i cheated so many times my entire life perharps, but what pained me most is I NEVER CHEATED ON MERCY! Not once, not ever. If i managed to be faithful to some one it was Mercy. And for what? Nothinggggggggggg! Najua mnajiuliza nimejuajeee, na nini and how didi i break all all the hell lose on her.

Well everything starts with the phone these days. Zamani imu yake anaweza hata isusa hapo hata masaa 10 akaja kuikumbuka baadae sanaaa. Recently akaanza tabia simu anaiweka kwenye kumi na nae zake mda woteee. Jamaniii. Sikustukaaa. Wanaume wenzangu haya mambo yanaanziaga mbali sana only we dont pay attention.

Trigger point ilikuwa siku kabanwa mkojo ile kabanwaaa haswaaa, anaendea akinesa nesa mkojo usimchuruzike, akakumbuka simu kaiacha mezani, hamuwezi amini, adrenaline sijui nnini ni ni mkojo ulimkatika half way akapiga U turn kuja kuchukua simu, akiwa anatembea vizuriii kabisaa, kuitia mkononi tu nafkiri adrenaline ikaisha mkojo ukampenyaaa, akatoka speen ya 4G kwenda chooni na aliacha matone ya kutosha. Then ndipo nilipongamuaa I have to go through that phone therally.

Ushauri wa bure wanaume wenzangu, ukihisi jambo basi ndo lenyeweeee. Usiwe na pupaaa, hizi pupaa pupaa za kumuuliza simu ina nini? Sijui nipe hio simuuu! Hapo sana sanaaa utampa red lights za kuwa more careful na kuirase the evidence. We jifanye bwege ku collect evidences enough to convict her only when confornt her ukijua hana pa kutokea. Tena jifanye bwege beyond comman sense kama simu ikiita mbele yako kabisaa yuko jikoni muite aje apokee afu soma vi details vidogo dogo kama je ataipokea au ata muite kujifanya imekatika. Na akipokea ataongea conversation ya kueleweka au ndo Mmmmmh, ok, sawa, ndio, ndio, poa, ok. Ukiona hii convo jua haupo mbali na conviction.

Test ingine mda wa kulala, je simu anaizima? Anailaza itazame godoro? Kama ni ndio jua mali zako zinaliwa. Kuilaza itazame godoro maanake chats zinaingia sasa akiifunika huoni mwanga ule, manake kaweka silence complately. Mi nikawa namtizamaaa tu, namchekiii. Namlia timing tu. Nikajua kaweka password ya pettern kusudi niisome pattern yake kwa mbali, nikagundua kaweka fingure prints. Nikajua kazi imekwishaaa kitambo sanaaa.

Siku nilimpiga show moja ya kibabeee sanaa, kama siku tunakutanaaa. Nikawa namtega kumwambia i love you so much, sitaki kukupoteza, kuna mambo mazuri yanakuja mbele, utafurahii baby, utapendaa baby. And if there is anything anything at all you wanna tell me, tell me now baby. Nilimtega tu just incse she was in for some confession. Akanyutiii kimyaaa. Nikaendelea kumtongozaaana mitego a come clean, akaendelea kuruka viunziii. Nikasema sawa sawa mama. Cha zaidi alichosema mambo unayonipa matamu sanaaa, nikijua unampa mwanamke mwingine roho itaniuma sanaaa. And then is when i was 100% sure she was cheating.

Kutokana na ile show niliompigaa akawa kachoka nyaka nyakaaaa, akalala fofooooo. Nikachukua simu, wapi fingers si yuko usingizini, nikajifungulia simu kwa raha zangu. Password inawatia ujingaaa watu sanaaa, wanajiachia sanaa akiamini ile passowrd ndo kila kitu. Nafuu usiweke password ukumbuke kufuta machafu yako yote. Nina mshikaji wangu mmoja anaitwa Meddy, Meddy bwana ana line yake ya kuchepukaaa, kabla hajafika kwake kuna mti anapita, akifika hapo anaichimbia line yake ya mauaji, anaingia kwake mwepesiiiii, kesho akienda kazini anaichimbua. Mkewe akawa ana kazi ya kulalamika, mbona hii simu haina line????????? Kwanini miaka yote simu uko nayo, hugawiii, huiachi, na line huwekiii. Anamzuga hii nilio nayo imekufa battery ndo maana natembea nazo zote niamishe line. Mi milaini mingi ya nini wife. Hahahaaaaa.

Nilichokikuta humooo kilinimaliza nguvuuu sanaaaa. Kwanza anatembea na mtu anaitwa Mzava. Namba haikuwa na jina, asante serikali kwa kusema line zisajiliwe. Nikamtumia mdogo wangu wa Tigo akanipa ID ya huyu mzava, line alisajilia kitambulisho cha kazi. Anafanya kazi NIMRI. Sasa ubaya wa vitambulisho vya kazi sio current, picha ni ile unapiga unavoanza kazi. Nikazama face book kumsaka nikamkuta kajaa tele. Mtu mzima kabisaa anakaribia 60s. Ana mtoto yuko chuo kikuu. Pale face book tu nikapata details nyingi tu za kutosha kuanzia. Nikajiapiza haka ka binti cha huyu mzinzi lazima nikafumue marindaaa. Alikuwa kaka tag, nikaingia kwenye profile yake, na kubahatika namba, nika i save.

Nikawa nasoma chats zao, lilivokosa haya linamwambia "Achana nae, anakupotezea mdaaa huyo ana mke wake hawezi kubecome anything" Come on! Hivi huwezi kujipigia chapuo bila kuniua mwanaume mwenzio. Mi mbona Mercy nilimpora kwa boya wake na sikuwahi kumuua kwake boya wake hata siku moja.

Katika kusoma soma nikagundua walishaibanjua amri ya 6 sio mara moja au 2. They were having a serious relationship kabisaa na huyu boya anangoja go ahead tu kutoka kwa Mercy ataniacha lini, yeye akatoe mahari, amuoe. Mkewe sijui alishatangulia au walitengana sikujua, ila hakuwa na mke, na ana kabinti tu hako ka chuo basiii. Godoro niliona lina misumariiiiii ya motoooo.

Nikaondoka kwanza, roho iliniumaaa sanaaa, nikawa kama chizi chiziiii mambo yanguuuuu. Nilidataaaa. Nakosa maamuzi. Ushahidi uko so evident kiasi kwamba ni kamba evidence zina have a gang bang au orgy. Nikamtumia sms nimejuaa A mpaka Z. Akastukaa nimejuajeeee. Uzuri mimi baada ya kupata nachota simu nikairudisha nilikoitoa. Ujue mwanamke akijua umefumia wapi, hato acha ku cheat sansana ata advance tu kwenye cheating methods zake. Nilitaka nimtishe mimi vampire, mtandao wangu mkubwaaa sanaaa

Akaniambia njoo tuongeee. Nikaenda, kumsikiliza tu how much will she come clean, cause hajui mimi najua kiasi gani, na endapo ange mungunya maneno baaaaaaaaaas ningejua mapenzi yashakufaaa kabisaa, ningeanza mbele. Uzuri alikiri kosa loote, na haku ommit detail hata moja, na akaniomba msamaha kwa yote na sio lengo lake ispoku hili jambo tu ndo linamuingiza majaribuni.

Amechoka kuwa side chick with a side baby. Umri umeenda nae anatamani nyumba yake, awe na mume wake, ampe mwanae malezi bora ambayo baba hata kama wa kambo yupo mda wote, sio baba wa ku beep beep kama mimi. Mmmmh! Sasa Mzava is a good guy, and he offered her all that the moon and sun in a complete package and she is going to accept it. Sorry hakuniambia mapema and i had to find out things this way, but she is going to say YES to Mzava and get married have a familly although wote tunajua i will always be the man of her life.

Nikajikuta tu nauliza huyo Mzava anakuoa lini? Msinicheke ndugu wasomajiii. That is all i had to ask given situation ilivokuwaaa. Akajibu tu soon. Na mimi nikabakia kukazia tu soon. Kwanini hukuniambiaaa all this time? Akasema nilishindwaaaa, i just couldnt, dont make things harder for me. I was the most loving, loyal side chick in worlds history ila sasa it is time for change, mimi nakusapoti uwe na mkeo, now i can use a little of that. Tayari Binti yetu Eva hatakiiii hatakii kumuona Mzava, and she is rude, mean towards him, anamwambia You are not my dad! You ae not my uncle, i dont like you, my mom will marry my dad. Mzava anaumia na mimi naumia, nategemea support yako kiukweli Man of the people kwenye kunisadia just to help me be happy. Nikamuuliza so Eve anamjua baba yake wa kambo. Analia dont make this hard for me. Nikajikunyata pale nikaondoka zangu msimamo anaolewa na Mzava.

Nikasema nafungulia mbwaaa! Nitalala na kila mke wa mtu, mchepuko wa mtu, nafagiaaa fagiaaa mji mzima. Kiumbe chochote kwenye sketi ni halali yangu kabisaa, siambiwi kitu. Roho iliniumaaa sanaaa. Na kilichoniuma Mercy nampendaaa, na najua ananipendaa, tunapendanaaa sanaa afu Mzava analeta uchawiiii ngoja.

Nikaendela kukusanya details zake kutoka kwa rafiki yangu wa NIMRI, akanikutanisha na mdogo wa Mzava, Mzava Jr kwenye bia asijue mimi ni nani wala nataka nini. Nikamtekenya kidogo wewe sio mdogo wa Mzava Sr namfahamu. Wacha animwagie data zoote nazohitajiii. Nikaenda kukiona hiko kibinti kilikuwa kinasoma Tumaini. Nilikitongoza tu facebook tu huko huko kikajaa wavuni na kupia mwaliko Iringa. Nikakapiga picha bila kujijuaaa geust. Sikukala. Niliacha kivue nguo kiko kwenye shuka nikakatwanga Ekotike moja matata. Nikakiambia nakuja sasa hivi nafata condom. Nikakiacha. Sikuona makosa yake.

Nilivokamilisha ushahidi wangu woote nikaaanza kumchezesha makida Mzava. Na nilimwambia mimi mzazi mwenzie Mercy, namjua yeye hanijui sasa kama anataka kulijua jiji aendelee na Mercy. Nikaanza kumpa tu data zake za ndani ndani kama mshahara wake bei gani, anaishi wapi, na nani, kila small detail ya maisha yake nilimpa na kubwa kuliko nikampa Le Photo ya mwane kwenye mashuka. Naona hii ilikuwa final straw. Siku nimeenda kumuona mwanangu kwa Mercy ananiuliza mbona Mzava anasema unataka kumuua? Nikajikausha mimiiii? Walaaaaa, mi sina kinyongo nae, siwezi, i want you to be very happy, kwa support ulionipa mimi siwezi kukuhujumuuuu Mercy. hata mkipungukiwa kitu katika sherehe yenu nambie nitatoa kama ninacho.

Basi Mercy akawa so emotional, naona kabisaa ananipendaa, but she cheated on me ndugu wasomaji msijifanye kusahau ghaflaaa, nikawa nambembelezaaa mzazi mwenzangu jamaniii, we started kissing, kissing and kissing. Nikapewa mzigo mwenzenu nifanyaje sasa. Na nilipiga show ya kibabe kuonesha tu kuwa Mzava hapa kwangu atasubiri sanaaa, babu kama yule anakaribia menopasue wa kunipora mwanamke.

Basi baada ya tendo akawa analia, sijui analia nini. Anasema only if. Namuuliza If nini? Ungenioa wewe. Namwambia mimi niko tayari kukuoa kama utataka. Hata kesho. Mkeo? Nisha muachaaa kabisaa mpaka wazazi wanajua. Anasema najua unanidanganya, i waited you to say this younever did umeona Mzava anataka kunioa unaleta mapicha picha. Hahahaaa! Nikamwambia kama umeamua kuolewa na Mzava pia heri, mi nitatafuta mwanamke wa kuoa mwingine... Tukaishia juu juu. Akaja kumpigia mke wangu wa 1, kumpeleleza akasema kweli tumeachana, kisa nini? Akasema kisa dini wala hayupo na mimi, kiroho safi. Ndo kunitext niko tayari kuolewa. Sasa sijui alimtimua Mzava sijui.

Nikawaambia ndugu zangu wakapeleka mahari, Mercy akaokoka, nikamuoa kanisaniii mbele ya umati wa watu. Mke wangu wa kwanza she was very fine with it,sijui ashapata mtu wa kumpiga mitiii sijui, hata pingamizii japo la kuzugiaaa tu. Mercy was the happiest woman on earth that day. I was happy maybe i am not so sure.

Mercy is the best wife ever, cause ndoa hiikaisoteaaa sanaaa, mnooo mnoooo. Watu wa bank walimpa salutii sio kwa kuibembeleza ndoa kiasi hiki. Nikajua kwa Mercy nimefikaaa na my cheating days are so over. Sasa natulizana kama maji ya mtungiii. Na sahivi nikawa navaa pete kubwa kabisaaa.

Kadri tulivoishi my anger juu ya kunicheat ikaanza kujichannel kichwani mwangu. Kumbukeni kumfumania na harusi happened so fast sikupata wass mwafaka wa kudeal na anger yangu moyoni that she cheated on me for a long time, lied to my face so many times. Kuna mda alienda Mwanza kuliwa na aliniacha mimi Dar ambapo nilikuja for her, specifically for her, akaenda kuliwa na mwanaume mwingine Mwanza mi nikabaki na nyege zangu na mtoto na dada wa kazi all weekend na kurudi Nairobi hajarudi. All these facts were hunting me.

Fact i loved my wife to beats i had no doubt whatsoever. Ila infidelity yake lile tukio was some how stuck in my mind and hunted me, day and night. Even a wedding couldnt get me past it. Hapo nishatamka kumsamehe na aliniomba msamaha mpaka basi. Ila ndani kwa ndani bado lilikuwa linanitafunaaaa. I just didnt know how to deal with it. I never vowed to cheat on her or cheat again ever

Untill one day huku Nairobi kuna volunteer pale EAC mbongo mwenzangu. hatuna mazoeaa kabisaaa kabisaaa. From no where Jumamosi maana pamoja na kuoa hii cheating ilinifanya nikawa sipendi tu kwenda kwangu weekend, natafuta sababu tu nibaki Nairobi. Yule binti alinipigia simu kwamba anaumwaaa anaomba nimpeleke hospital. Nilishangaaa sanaaa. Nikasema maybe Amezidiwa, ngoja niende, huku ugenini maskini labda kakosa mtu wa kumsindikiza.

ITAENDELEA KESHO SAA 4 USIKU.
 
mahondaw Heaven Sent na team roho mbaya wote. Mzigo upo mezani...tatizo picha limekuja na chenga nyingi halieleweki ni point kwa upande wa mlokole au team roho mbaya, ila hata kama sio tezi dume apate japo kifaduro tu!
team roho mbaya imekula kwao., washanyang'anywa, wakawekwa ndani afu picha mpya zipo karibu kuanza huko Nairobi.., ila Lara1 atuambie hivi huyu jamaa bado ni mlokole?
 
Hahahahaaa hajui kama wazee wa school of law muda ni bidhaa adimu sana, ukijiiba kidogo kuchungulia kama ametupia dude unakuta kimyaaaa! Pole sana mkuu. Lakini ametufuta machozi kidogo, kanyunyizia ubani mioyo imetulia kidogo
Haelewi Huyu. Time Is Money. Kumganda Dada Wa Watu Tu.
 
Back
Top Bottom