Weekend udaku: beef kali la zuka kati ya kassie mahaba na beef lasgana kisa mshana jr

Mambo vipi mdogo wangu? Week-end inasemaje huko?
Naona umekuja na stile mpya kabisa.
 
Pole sana
 
Hiki kidogo kinachekesha sana yaani hivi vitoto vya kugimbania ugali wa foleni ni shiiiida
 
beira gazeti lako linapokea matangazo, wajasiriamali walitumie kutangaza biashara/huduma zao?

Nasikia gazeti za udaku zinasomwa sana [emoji23][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…