Weekend udaku: beef kali la zuka kati ya kassie mahaba na beef lasgana kisa mshana jr

Weekend udaku: beef kali la zuka kati ya kassie mahaba na beef lasgana kisa mshana jr

Mambo vipi mdogo wangu? Week-end inasemaje huko?
Naona umekuja na stile mpya kabisa.
 
Daahhh moyo umeniuma sana!beira umeniharibia siku kabisa!hivi unaju ni kiasi gani mi nampenda beef???!!!yaani hapa nahisi nimelegea na kukosa nguvu kabisa unaweza kuniua ujue!naomba ukanushe hii habari haraka sana kabla sijazimia.weitaaa rete faru jon na don nyati ya coffee na Kvant 2 kubwa haraka tena ziwe baridi ili nikafie nyumbani saizi
Pole sana
 
Hiki kidogo kinachekesha sana yaani hivi vitoto vya kugimbania ugali wa foleni ni shiiiida
 
beira gazeti lako linapokea matangazo, wajasiriamali walitumie kutangaza biashara/huduma zao?

Nasikia gazeti za udaku zinasomwa sana [emoji23][emoji28]
 
Back
Top Bottom