Nimekusahau nn tenaaaaaNilijua umenisahau kumbe unanikumbuka !!![emoji108] [emoji108] [emoji108]
Nilijua umenisahau kumbe unanikumbuka !!![emoji108] [emoji108] [emoji108]Wewe ndo upo wapii mm leo nipo dunia ya mapenziiii
Yap mkuu linapokea matangazo mkuu kama kuna biashara zako unataka tangaza bas usisite kunishutiabeira gazeti lako linapokea matangazo, wajasiriamali walitumie kutangaza biashara/huduma zao?
Nasikia gazeti za udaku zinasomwa sana [emoji23][emoji28]
Poa,za shule mtoto mjurii jurii?[emoji5]Nimerud mambo mumu
Hivi ndio uchawi eeh,? maana nikadhani ni mtabibu wa dawa za jadi.Jamaa ni mchawi kinoma itakuwa aliwachomea kamzizi usiku
Pamoja mkuuMi niko fresh sana kaka yangu
Ooh,poleee totoo... Ongeza juhudi eeehNjur dada sema tu kitabu ni kigumu shana my sister
Hujui upo dunia gani weweKwahiyo mshana ni mumeo
Nimezizuia notifications ili wasikusumbue sweetie !!. waache wakeshe mimi nawacheki tu kwa mbaaaali [emoji41][emoji41][emoji41]Sipat notification jaman utanisameheee kabisaaaa
Sweet tena jaman unataka kuniharibia ndoa mm au?Nimezizuia notifications ili wasikusumbue sweetie !!. waache wakeshe mimi nawacheki tu kwa mbaaaali [emoji41][emoji41][emoji41]
Huyu Mshana huyu ana matatizo gani ? au ile thread ya mganga kukusanya MA dem alikua yeye ?Sweet tena jaman unataka kuniharibia ndoa mm au?
Mrs Mshana jr
Mm sjui mshana mme wanguHuyu Mshana huyu ana matatizo gani ? au ile thread ya mganga kukusanya MA dem alikua yeye ?