Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Kweli nimeamini mzizi hauonjwi [emoji23][emoji23][emoji23]Mr Mshana jr ndo mme wanguuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nimeamini mzizi hauonjwi [emoji23][emoji23][emoji23]Mr Mshana jr ndo mme wanguuu
Ila ujue ndio hobby za watuUdaku sio mzuri
Haaaah. Haaaah. Haaaah.
C Low kwa Mange
Bora maana kulipoa.Yes my sister nabadilika kama kinyonga
Hahaaaaaaa Hahahhahaa hiyo cocktail si utafariki Kabisa 😀😀😛Daahhh moyo umeniuma sana!beira umeniharibia siku kabisa!hivi unaju ni kiasi gani mi nampenda beef???!!!yaani hapa nahisi nimelegea na kukosa nguvu kabisa unaweza kuniua ujue!naomba ukanushe hii habari haraka sana kabla sijazimia.weitaaa rete faru jon na don nyati ya coffee na Kvant 2 kubwa haraka tena ziwe baridi ili nikafie nyumbani saizi
Acha tu nife.umeukunjakunja sana moyo wanguHahaaaaaaa Hahahhahaa hiyo cocktail si utafariki Kabisa 😀😀😛
Safi tuMambo mtoto mzur
[emoji15] [emoji15]C Low kwa Mange
Ndio mana akaitwa beef na huyo mwingine casie. Beef lazima izue case za Mshana... Hope umenielewa...Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Niaje wana na wadau wote wa jf
Ebhana ee mambo ni fire fire
Ebhna ee karbu kwenye gazeti la udaku ambalo litakuwa linatoka kila week jmos, gazet linakwenda kwa jina la ZA MOTO MOTO
Kwenye gazeti letu kuna habar moja mbaya sana na matata sana ambayo ni ugomvi mkubwa sana ambao umezuka kati ya warembo wawili kasie mahana na beef lasagna
Wadada hao wanamgombania mshana jr ambaye kawachanganya kimapenz, mshana katoka na wadada wote hao kwa wakati mmoja na wakati huo huo alianza na kasie mahaba na baadae akaenda kwa beef lasagna
Lakin ukweli wanao wenyewe ngoja niwanyokee hewan naanza na beef lasagna
Simu inaita be be be be be be be bebe beef anapokea sim haroooo
Beira wozah niaje beef
Bee: safi beira tuna mshukulu Allah subuhana
Beira: aise beef nasikia kuna ugonv mkubwa sana umeibuka kati ya wewe na kasie mahaba na chanzo cha ugonvi huo mnagombea mshana
Beef : hey beira nakuomba uniache kama nilivyo na mambo yako ya udaku na ole wako ukaniandike kwenye magazet yako ya udaku udaku sikia beira mimi ni mtoto wa kiisilam najiheshimu babuwee na nina mchumba yuko huko oman ni mfanya biashara wa mafuta siwez kabisa kuwa na huyo mchawi machawi mshana kwahiyo hizo ni habar za kiongo nakuomba uzipuuze tu beira kwaheriii
Beira: lakin beef
Beef : lakin nini nakuomba uniache
Beira: haloo haloo halooo
Sikuishia nikaona nimpandie hewan hewan kasie mahaba kama kuna ukwel kuhusu hilo
Beira: simu inaita di di d did di did di
Kasie: halooooo nan mwenzangu
Beira: yap niaje kasie unaongea na beira mwandishi kutoka gazet la ZA MOTO MOTO
kasie: weeeeee achana na mimi beira kumbe ndo wewe nishajua unachotaka kuniuliza
Beira: ni kweli et mshana kaibiwa na beef lasagna? Halooo haloo kasie kasie mahabat haloo kasiee
Kasie alikata cm ngoja nimpandie hewan mshana mwenyewe
Beira: vo vo vovovo vo vovo
Mshana: haloo naongea na nan
Beira: mshana shikamo? Habar za majukum
Mshana: marhaba mungu anasaidia nan wewe
Beira: ni mimi beira mwandishi wa udaku nina swali moja kwako mshana nasikia et umewachanganya mademu wawili kwa mpigo yaan umekula kuku na mayai yake
Mshana: hahaha hahahaha hahaaa beira bhana unajua wewe dogo unavituko sana aisee nan kakupa huu umbeya dogo mbona mimi siko hivyo na hao watu mimi nawaheshimu kama dada zangu tu
Beira: hapana bro nasikia kwamba et umemkula kasie na beef lasagna kwa mkupuo kitu kilichopelekea wao kugombana
Mshana: ha haha ha haaaaa sasa wanagombania nini wakati mimi kuna mmoja wao nishaachana nae nikabak na mmoja sasa wanapogombana sielewi wana manisha nini
Beira: ya ndo hivoo broo wanagombana bhana kisa wewe
Mshana: ngoja nitaongea nao halafu nitakujulisha beira
Beira: haloo halooo oy mshana oya oya haloo haloo
Had tunakwenda mitambon hatukuwa tumepata jibu la moja kwa moja maana kila mtu alikuwa anamtupia mpira mwenzake
Tukutane tena week ijayo kwenye gazet letu la ZA MOTO MOTO
ni mimi wako beira
Jamiforum we dare talk openely
BOY FROM LONDON
HahahaaaJomoniii