Weekend udaku: beef kali la zuka kati ya kassie mahaba na beef lasgana kisa mshana jr

Safi kabisa
Beira boy nini mbaya nimeambiwa jana umenianzishia uzi mwingine wa kuni diss mbaya...! Sina kinyongo wala tatizo kwakuwa hata sikuuona... Lakini ninini kimekufanya mpaka ukanianzishia uzi wa namna ile?
Ukiweza nijibu tu kwa upole
 
Sikufanikiwa kuuona uzi mwingine uliouanzisha kunihusu ila nimeambiwa haukuwa mzuri na watu wakatapika nyongo na kutoa madukuduku yao yote.... Pengine haukuwa na lengo baya lakini siku zote ajali haipangwi japo huwa kuna viashiria vyake
Uzi husika kama watu wameweza kufunguka kwa jinsi nilivyosimuliwa basi kwa sasa watakuwa na nafuu kubwa nafsini mwao na tunaweza kusonga mbele tena..
 
Mzee bado mademu wanagombana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…