Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni nzuri mdogo wangu, hofu ilikuw kwako tu.Weekend iko njema sana kaka sana uhali gan?
Tunabadilika badilika kama kinyonga
Upepo wa kibuyu noma sanaHata mimi nahis hivyo
Pole sanaYap ndo hivyo bro sipend shule kama nini lakin dada zangu sasa kutwa kulazimishana kusoma
Hili gazet kila week litakuwa linaruka mitambon
Nimesingiziwa
sauwerrrrr ..lakini mimi sihitaji kuwa humo kwenye hilo gazeti lako mkuuHili gazet kila week litakuwa linaruka mitambon
HahahahahaaaaaHAHAAAAA KANICHEKESHA MNOOO HUYU MTOTO AISEEEE "" DAHHH
Nilijua umenisahau kumbe unanikumbuka !!![emoji108] [emoji108] [emoji108]Wewe ndo upo wapii mm leo nipo dunia ya mapenziiii
Sipat notification jaman utanisameheee kabisaaaasasa mbona huko dunia ya mapenzi umekwenda peke yako hujanishtua ..wakati mimi sehemu zote za raha nina zokwenda huwa Nina kuita ..huu ubinafsi huu mkuu.
hahaaa