Weekend Vibes

Weekend Vibes

FAHAD KING

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
301
Reaction score
375
Kuna muda tunahitaji kujifariji..Kuna muda tunahitaji kujiliwaza na kujipumbaza wenyewe..Kuna muda tunahitaji kujitekenya wenyewe ili tucheke tufurahi..Si mnakumbuka ule msemo wa waswahili?...CHEKO HUONGEZA SIKU ZA KUISHI BANA!!

Kuna muda hatuhitaji Thread za kitafakarisha hata kidogo.Hatuhitaji kuumiza bongo zetu bali tunahitaji kuziburudisha akili zetu.Matokeo mtaona kama tukishirikiana kwa pamoja

Njooni tuchekeshane sote tufurahi.Kwanini ucheke peke ako bana!!..Tuma picha kama inawezekana.Sema kwa Privacy usioneshe Sura
Haya Twende

Weekend ya Leo unafanya nini?
Mi nimetoka zangu kucheki mpira hapa..Kibaya zaidi matokeo ya leo Arsenal imeniangusha mno!!..Natafuta Movie zakucheki siku isogee
20200102_203621.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda tunahitaji kujifariji..Kuna muda tunahitaji kujiliwaza na kujipumbaza wenyewe..Kuna muda tunahitaji kujitekenya wenyewe ili tucheke tufurahi..Si mnakumbuka ule msemo wa waswahili?...CHEKO HUONGEZA SIKU ZA KUISHI BANA!!

Kuna muda hatuhitaji Thread za kitafakarisha hata kidogo.Hatuhitaji kuumiza bongo zetu bali tunahitaji kuziburudisha akili zetu.Matokeo mtaona kama tukishirikiana kwa pamoja

Njooni tuchekeshane sote tufurahi.Kwanini ucheke peke ako bana!!..Tuma picha kama inawezekana.Sema kwa Privacy usioneshe Sura
Haya Twende

Weekend ya Leo unafanya nini?
Mi nimetoka zangu kucheki mpira hapa..Kibaya zaidi matokeo ya leo Arsenal imeniangusha mno!!..Natafuta Movie zakucheki siku isogee View attachment 1319893

Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu hamia uku Liverpool ule rahaa
 
Back
Top Bottom