FAHAD KING
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 301
- 375
Kuna muda tunahitaji kujifariji..Kuna muda tunahitaji kujiliwaza na kujipumbaza wenyewe..Kuna muda tunahitaji kujitekenya wenyewe ili tucheke tufurahi..Si mnakumbuka ule msemo wa waswahili?...CHEKO HUONGEZA SIKU ZA KUISHI BANA!!
Kuna muda hatuhitaji Thread za kitafakarisha hata kidogo.Hatuhitaji kuumiza bongo zetu bali tunahitaji kuziburudisha akili zetu.Matokeo mtaona kama tukishirikiana kwa pamoja
Njooni tuchekeshane sote tufurahi.Kwanini ucheke peke ako bana!!..Tuma picha kama inawezekana.Sema kwa Privacy usioneshe Sura
Haya Twende
Weekend ya Leo unafanya nini?
Mi nimetoka zangu kucheki mpira hapa..Kibaya zaidi matokeo ya leo Arsenal imeniangusha mno!!..Natafuta Movie zakucheki siku isogee
Sent using Jamii Forums mobile app