Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Dah hata Mimi nilijua msiba wa Mfalme wa Banana RepublicMi nikajua tumepatwa na msiba.
Mtu mkubwa mkubwa tu hapa mjini Tanzania.
Njoo lachazzz nikupe OfaaaSasa furaha inatoka wapi? Au inasababishwa na nini? Mi sina hela unasema leo ni shangwe na furaha Tanzania au we mwenzetu uko Tanzania ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo chuga tule nyama aisei..!Sasa furaha inatoka wapi? Au inasababishwa na nini? Mi sina hela unasema leo ni shangwe na furaha Tanzania au we mwenzetu uko Tanzania ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima mkulu amewavuruga somewhere chuki hii sio ya bureDah ingekuwa hivyo ningepika biriani ya ngamia Wallah!