Weekend ya Ijumaa Agosti 24, 2018: Shangwe kila kona ya nchi ya Tanzania

Weekend ya Ijumaa Agosti 24, 2018: Shangwe kila kona ya nchi ya Tanzania

Kadogo ila katamu sana !

Leo ni fujo na shangwe kila angle ya nchi yetu tukufu Tanzania. Watu wako vizuri baada ya kutoka makazini.

Maeneo yetu yale umati unaongezeka tu taratibu bila shida. Shangwe shangwe kila mahali.

Karibuni tujumuike watz wenzangu.

Ongeza ya baridii…

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ushapokea mshahara ila kumbukuka Wenzio wiki inaisha hata wekundu Wa msimbazi hatujaushika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom