Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hata Mimi nilikuja kasi nikijua msiba tayari...! Usiwe unatushtua hivyo bwana wengine tuna stress + pressure - uchumi.Mi nikajua tumepatwa na msiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nilikuja kasi nikijua msiba tayari...! Usiwe unatushtua hivyo bwana wengine tuna stress + pressure - uchumi.Mi nikajua tumepatwa na msiba.
50,000 itakuvusha nikutumie?Sasa furaha inatoka wapi? Au inasababishwa na nini? Mi sina hela unasema leo ni shangwe na furaha Tanzania au we mwenzetu uko Tanzania ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ushapokea mshahara ila kumbukuka Wenzio wiki inaisha hata wekundu Wa msimbazi hatujaushikaKadogo ila katamu sana !
Leo ni fujo na shangwe kila angle ya nchi yetu tukufu Tanzania. Watu wako vizuri baada ya kutoka makazini.
Maeneo yetu yale umati unaongezeka tu taratibu bila shida. Shangwe shangwe kila mahali.
Karibuni tujumuike watz wenzangu.
Ongeza ya baridii…
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahaHata Mimi nilikuja kasi nikijua msiba tayari...! Usiwe unatushtua hivyo bwana wengine tuna stress + pressure - uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha Dk .Hata mimi... Ingekuwa shangwe kubwa kweli
Jr[emoji769]
KWani akica kwa bahati mbaya watu hawatalia?Mi nikajua tumepatwa na msiba.
Hata mi nitalia,kuna watu tunaliaga tu msibani ili tuonekane tuna huzuni,utu na huruma....lakini saa moja baadaye ni biiiiaaaa biaaaa kwenda mbele.KWani akica kwa bahati mbaya watu hawatalia?