Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ponda Mali kufa kwaja Mkuu,hata ndege wa angani hawalimi wala hawapandi lakini wanakula na kusaza
Sawa bossPonda Mali kufa kwaja Mkuu,hata ndege wa angani hawalimi wala hawapandi lakini wanakula na kusaza
Sent using Jamii Forums mobile app
We una hatari sana, shangwe kwenye msiba tena?Mi nikajua tumepatwa na msiba.
Yaani ungefurahia? Kwanini?Dah ingekuwa hivyo ningepika biriani ya ngamia Wallah!
Vitani huwa tunashangilia tukipiga kichwa cha adui mkuu.We una hatari sana, shangwe kwenye msiba tena?
Nakubali. Angalia tu tusishtakiwe uhaini.Vitani huwa tunashangilia tukipiga kichwa cha adui mkuu.
Kadogo ila katamu sana !
Leo ni fujo na shangwe kila angle ya nchi yetu tukufu Tanzania. Watu wako vizuri baada ya kutoka makazini.
Maeneo yetu yale umati unaongezeka tu taratibu bila shida. Shangwe shangwe kila mahali.
Karibuni tujumuike watz wenzangu.
Ongeza ya baridii…
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi aise kidogo niseme Buriani J I weMi nikajua tumepatwa na msiba.
Mwenyewe nilifurahi nikajua labda mtesa wetu katangulia kunakostahili.Mi nikajua tumepatwa na msiba.
Inamaana wewe hautafurahia msiba wa mwenye taifa lake?.We una hatari sana, shangwe kwenye msiba tena?
Mimi hata msiba wa Shetani ikiwa yupo kweli, sitafurahia.Inamaana wewe hautafurahia msiba wa mwenye taifa lake?.
#TUNATAKA UHURU WATANZANIA YETU.
#MAGUFULI TUNATAKA UHURU WETU.
Hata mimi... Ingekuwa shangwe kubwa kweliMi nikajua tumepatwa na msiba.