Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Habari wakuu?
Natumaini nyote mko poa kabisa na mmejipanga vizuri katika kusherehekea weekend inayotegemea kuanza leo jioni, baada ya kupambana wiki nzima katika utafutaji wa mkate wa kila siku.
Kupumzika pia ni muhimu, ili kuupongeza mwili kwa kazi kubwa ya kuutumikisha bila kuchoka kwa siku tano mfululizo.
Leo tunataka kila mmoja apate rafiki wa kutoka naye, ili weekend inoge na maisha yaweze kusonga mbele.
Maisha hayahitaji kila siku kuwa siriazi, tukumbuke tunaishi mara moja, kwa hiyo kujipongeza pia ni muhimu.
Kwa wewe mdada utatuambia muonekano wako ni upi katika hii picha hapo chini, na mkaka utatuambia unapenda mdada wa muonekano gani hapo chini.
Mfano, kama ni B na ukakutana na mwenye muonekano wa B, ingieni chemba muweze kubadilishana abc, ili jioni tuweze kutoka wote.

Karibuni.