Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha yani wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakujui huyo wakunyumbaHahahaahahaaaaa. Achana na mimi wakunyumba
Baba kwani unapenda white?unaficha white sio?[emoji23]
NakuaminUsijali shoo
Hua nafurahi ukifurahi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa.. wamerudi tena watu wako mama?Na mwingine kanikuta kweny uzi gani sijui uko,ananiambia nilikua nakuona una heshima kumbe unadanga hadi makaburini unajitangaza kabisa kwenye nyuzi za watu[emoji23] nikacheka tu maana hajui alisemalo.
Sio codes zote lazima zifunguke kwa kila mtu
Mbona kinyonge babe?Nakuamin
Halafu kuna kitu nilitaka kukuulizaBaba kwani unapenda white?
Vishawishi vingine vikimbie kwa miguu yako babaBabe si unaniamini lakin...unatakiwa uniruhusu ili ujue kama naweza kukwepa vishawishi hatarishi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukishapendwa huna haja ya kujijudge tena,mpendaji alishaona vyote hivyo akavikubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila we mtoto mwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shunie huna mbavu,mi nalinda mali yangu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikikuja haki nitafurahi,maana ntakua na uhakika wa kumfurahisha baby hazard sio kama saiv anavumilia tuZitakuja tuu. Mi nilikua napenda minofu ikaja ikapitiliza kabisa hadi sasa nataka punguza minofu