Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ndio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibu[emoji23]Ndo naondoka hapo ...naelekeaa GT then element
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibu[emoji23]Ndo naondoka hapo ...naelekeaa GT then element
Hahahaha[emoji3]Ndio mda wenu kuleni ujana mamii,,sisi wazee wacha tulewe maeneo yenye hosptali karibu[emoji23]
Ukitoka hapo ukafanye mazoezi maanake utakuwa umekula mafuta ya mwezi mzima.Mapemaa tuView attachment 773882
Kuacha kula mdudu ni ngumu sana bora kuishi miaka 50 tu kuliko kuishi miaka 80 ya kujinyimaUkitoka hapo ukafanye mazoezi maanake utakuwa umekula mafuta ya mwezi mzima.
Kula halafu fanya mazoezi.Kuacha kula mdudu ni ngumu sana bora kuishi miaka 50 tu kuliko kuishi miaka 80 ya kujinyima
MxxieewwTunaendeleaView attachment 781306
Tabata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo umeanza kunywa mchana huuNjoo tabata. Yani leo napanda kitandanu saa kumi na mbili
Kama nakuona upo na ya ngapi mtafute shemeji yangu si unajua mitaa yake hiyoEeeh. Nimeanza saa tisa wala sio muda mrefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rafiki yupi yule aliyewakuta nae mikocheni ile siku hawezi bana si unamwambia kabisa asikuite mziguaYa nne hii. Shemeji ako niko na rafiki ake hapa halafu. Asije akaja akaleta jina la Mzigua bure.
MmmhEeeh. Nimeanza saa tisa wala sio muda mrefu.
Mgunoooooo vipiMmmh
Mpo kwenye mipango sio[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Rafiki yupi yule aliyewakuta nae mikocheni ile siku hawezi bana si unamwambia kabisa asikuite mzigua
Mzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapaMgunoooooo vipi
He he bila mipango mambo hayaendi mjiniMpo kwenye mipango sio[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulivyoongea mambo za daktar umenikumbusha screenshot moja ya mzigua jana WhatsApp kwenye sttsMzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapa
Ila ngoja nizipige picha nimtumie daktar nione kama atanipa go ahead