Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humuHivi kweli babra hassan anaweza asiwe ni mwanaJF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humuHivi kweli babra hassan anaweza asiwe ni mwanaJF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu anakujibu yupo mkavuSema aliamka na mimi. Toka majuzi nkifuata inbox ananibalasa
Sasa unaachaje mambo matamu yakupite acha uwoga kunywaHivi unajua bia zilivyo tamu? Na puchi??[emoji23]
Hahaha hapo anataka kupungua [emoji23]Mzigua una hatari wewe..... [emoji4][emoji4][emoji4]
6*6 hamna wa kumuuliza humu ndo shida. Sema kina beb wamenipaga nyota zote sekta hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha hapo hamaanishi kwa kutazamwa,,kasema upo vizuri kishape,kisura ila kwenye 6*6 ndio hajui [emoji125]
Aache uwoga anyweAsipokufa kwa kunywa pombe atakufa kwa malaria
Dawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....Mzigua90 kapost vitu hatarishi wakati nimemeza dawa hapa
Ila ngoja nizipige picha nimtumie daktar nione kama atanipa go ahead
Hahaha au sioAsipokufa kwa kunywa pombe atakufa kwa malaria
Woyooooooo6*6 hamna wa kumuuliza humu ndo shida. Sema kina beb wamenipaga nyota zote sekta hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninavoimagine wadada wa JF,napataga picha yake exactly..Atakuwepo mkuu,yule dada anajua mambo mengi sana mengi anayachota humu
Flagyl ukinywa na pombe,ni kwaheriDawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee6*6 hamna wa kumuuliza humu ndo shida. Sema kina beb wamenipaga nyota zote sekta hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha umenifanya nicheke kwa sauti kubwa......Vidole virefu kama kirungu cha bendi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shemeji banaLeo sitaki. Na nimezeeka siku hizi saa saba narudi kulala
Poa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la bia[emoji23]Dawa ninayo ogopa ni fragyl a.k.a metronidazole hizo zote zilizobaki ukiaa masaa yako matatu vyombo unagonga kama kawaida....