Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ni dilutant nzuri sana kwa OHMi nakunywaga ili nisipate hangover
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah. Itajulikana baadae bwana
Mm nakunywa heineken tu ajitahidi iwepoWewe angalia usije muua shunnie.... hawa kidogo lite... Heineken or Windhoek ndio wanaweza....
Hizo nyingine chupa mbili chali [emoji1][emoji1][emoji1]
Eeh nilikuwa sijui kama wanachoma mdudu pale.... nilikuwa najua ni bar ya kawaida tuPale nilikwambia nipo siku ile eeh??
Ndio nimeamua kukazia hapo maana hizo bia nyingine ni mateso kwa wadada.....Mm nakunywa heineken tu ajitahidi iwepo
sio hanzir hii?TunaendeleaView attachment 781306
Hapana aisee heineken nakunywa naisikia inavyoingia kwenye moyo whidhoek nakunywa endapo nikute heineken hakuna naipenda heineken jamaniNdio nimeamua kukazia hapo maana hizo bia nyingine ni mateso kwa wadada.....
Ila fanya uhamie kwa Windhoek hutojutia white....
Ndio yenyewesio hanzir hii?
Hahah zamani ndio nilikuwa fans wa Heineken ila kwa sasa Windhoek is the best for me white....Hapana aisee heineken nakunywa naisikia inavyoingia kwenye moyo whidhoek nakunywa endapo nikute heineken hakuna naipenda heineken jamani
Acha kabisa kitu cha baridiiiii kinafuka moshi hiviHahah zamani ndio nilikuwa fans wa Heineken ila kwa sasa Windhoek is the best for me white....
Naku zoom hapa naiona inavyo flow kwenye oesophagus ...
Kama vile nakuona nakuona..... [emoji1][emoji1]Acha kabisa kitu cha baridiiiii kinafuka moshi hivi
Sehemu nzuri nzuri siku zote hawajui kutengeneza mdudu,,hata chips za maeneo classic zinakuaga za ovyo ovyoEeh nilikuwa sijui kama wanachoma mdudu pale.... nilikuwa najua ni bar ya kawaida tu
Kitimoto yao iko safi.... De france ya sinza hakuna kitu bei kubwa halafu mdudu wa ajabu kuna siku niliwafokea kinouma washenzi wale jamaa mdudu nusu kama robo [emoji15][emoji15][emoji15]
Hahahha nione tu jamani kunywa kinywaji unachokipenda raha sanaKama vile nakuona nakuona..... [emoji1][emoji1]
Kule nishawapa BAN.... mambo yote ya mdudu ni Mikocheni mkuuSehemu nzuri nzuri siku zote hawajui kutengeneza mdudu,,hata chips za maeneo classic zinakuaga za ovyo ovyo
Ila ukipata za huko mitaani ni balaa
Huku kimara kuna maeneo wanatengeneza vitimoto hadi unahisi wameweka uchaw ndani yake hahahahaha yani nyama imesimama inaladha,nguruwe wanakua wamechinjwa siku hyo hyo sasa hizo sehemu za kishaua nyama zinakua zimekaa sana kweny frizaKule nishawapa BAN.... mambo yote ya mdudu ni Mikocheni mkuu
Ila sehemu za kawaida wanajua sana kutengeneza chakula iwe makenge/mdudu yaani unakula kitu roho inasuzika kabisa....
astaghafirullah hahaaaah duhNdio yenyewe
Itabidi siku moja nije nionje ladha ya mitaa hiyo mkuu...Huku kimara kuna maeneo wanatengeneza vitimoto hadi unahisi wameweka uchaw ndani yake hahahahaha yani nyama imesimama inaladha,nguruwe wanakua wamechinjwa siku hyo hyo sasa hizo sehemu za kishaua nyama zinakua zimekaa sana kweny friza
yaani leo nimeingia kwenye seledi ya moto....wakuu tukutane wa sabaaaaa
Sasa umeijuaje kama ni yenyeweastaghafirullah hahaaaah duh