Weekend

Pale nilikwambia nipo siku ile eeh??
Eeh nilikuwa sijui kama wanachoma mdudu pale.... nilikuwa najua ni bar ya kawaida tu

Kitimoto yao iko safi.... De france ya sinza hakuna kitu bei kubwa halafu mdudu wa ajabu kuna siku niliwafokea kinouma washenzi wale jamaa mdudu nusu kama robo [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Sehemu nzuri nzuri siku zote hawajui kutengeneza mdudu,,hata chips za maeneo classic zinakuaga za ovyo ovyo

Ila ukipata za huko mitaani ni balaa
 
Kule nishawapa BAN.... mambo yote ya mdudu ni Mikocheni mkuu

Ila sehemu za kawaida wanajua sana kutengeneza chakula iwe makenge/mdudu yaani unakula kitu roho inasuzika kabisa....
 
Huku kimara kuna maeneo wanatengeneza vitimoto hadi unahisi wameweka uchaw ndani yake hahahahaha yani nyama imesimama inaladha,nguruwe wanakua wamechinjwa siku hyo hyo sasa hizo sehemu za kishaua nyama zinakua zimekaa sana kweny friza
 
Itabidi siku moja nije nionje ladha ya mitaa hiyo mkuu...

Sehemu za gharama wanajua kukusanya fedha tu but ukija kwenye huduma ni F chakula F.....

Tabu tupu mzee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…