Weekend

Hahhaha huamini kwa nini sasa au mpaka siku nije kuwekwa jf ndio utaamini Ngabu

Teh teh yeah!

Ya kuwekwa JF huwa siyaamini!

Nayoyaamini ni macho yangu, ana kwa ana.

Ukiamini ya JF basi utaamini Ngabu ni kibabu. Utaamini Ngabu anaitwa Julius na kadhalika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…