Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asanteee shem najivunia sura ya baba anguWenye sura hizo wataalamu wanasema ukiwa nao kwenye mahusiano mtadumu kwa muda mrefu sana. Ndio maana napambana kumpata mtu kama huyo ambaye ni wewe.
Lucky me.