Asanteee shem najivunia sura ya baba anguWenye sura hizo wataalamu wanasema ukiwa nao kwenye mahusiano mtadumu kwa muda mrefu sana. Ndio maana napambana kumpata mtu kama huyo ambaye ni wewe.
Lucky me.
Khaaaa nimekuwa cheupe tena kwahiyo huu ucheusi mangala nampa nani [emoji3][emoji3]Kwani mesemaje mie cheupe? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hachagui habagui atakaemzika hamjui. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hawatakosa vya kutoa kasoroHahahahaa. Sema uwekwe afu uwe unajishaua mama wee. Sema wakunyumba wakikuweka poa tu hawataharibu kitu [emoji23]
Hilo nalo tatizoShemeji ako anaogopa asije akaja pm akakumbana na wenzie [emoji23][emoji23]
Me pm yangu niliwaambiaga mods wanitolee shem nilivyoingia tu jfNaipenda sana
njoo bas shem tujenge ukarib zaid
Mmmmmmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheusi mm mangala
Haeleweki yaanSasa na wewe unataka nafasi sehemu ngapi.?
Wacha weehMmmmmmh
kitu cha chocolate chenye utam wa vanila
Hahahahaa. Sema uwekwe afu uwe unajishaua mama wee. Sema wakunyumba wakikuweka poa tu hawataharibu kitu [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si pm wakunyumba
Msukuma huyu hana hiyana. Ye mweusi mweupe blue hana shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kumjaza Ngabu si unajua wasukuma wanavyopenda vyeupe hakawii kuniletea iPhone x
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu my footYa mwarabu sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hawatakosa vya kutoa kasoro