Weekend

Ooohh am so lucky !!

Bado hio haindoshi wala haibadili kitu Mzigua90 .
Leo mazoea vipi chief? Si juzi ulikua unajazwa kichwa hutaki mazoea na wewe ukajikuta mtuu hatari. Imekuaje leo unaleta mazoea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke kizigua mieee
 
Kifua size Safi
Kiuno size Safi
Hipsi japo ukikaa zinatapanyika nazo Safi
Chura.......[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kiukweli unafaa Kwa matumizi yangu binafsi.
 
Leo mazoea vipi chief? Si juzi ulikua ******* ndimu hutaki mazoea na wewe ukajikuta mtuu hatari. Imekuaje leo unaleta mazoea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke kizigua mieee
Ooppssss am so lucky ,brave me , unajua huwa napenda kua Unpredictable!!
We can't bring back yesterday, we can't look into tomorrow, the only Gift that we have is Today!!
 
Amen Putin
Yes so take easy ,this is life its filled with ups and down , ukienda pale kuna makelele ,kule kuna umbeya ,hapa kuna vicheko pemben kuna vilio,mbele kidogo kuna mwanamme kafumwa ,kwajiran kuna ngoma za segele ..so nikuyachukua kama Yanavyokuja...

Ukinuna ,utakua na maisha mafupi ,,na kwa mwanamke km weee mie huwa nawambia mna "Mioyo ya malaika" , mkinuna hata hainogi ,unajua kwasababu gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…