Weekend

Weekend

Yes so take easy ,this is life its filled with ups and down , ukienda pale kuna makelele ,kule kuna umbeya ,hapa kuna vicheko pemben kuna vilio,mbele kidogo kuna mwanamme kafumwa ,kwajiran kuna ngoma za segele ..so nikuyachukua kama Yanavyokuja...

Ukinuna ,utakua na maisha mafupi ,,na kwa mwanamke km weee mie huwa nawambia mna "Mioyo ya malaika" , mkinuna hata hainogi ,unajua kwasababu gan??
Eenh na me nataka kuisikia hiyo sababu
 
Hapana am kind of Man ,ambaye sitendi ,sioni ,siongei ,sisiki eti sababu kuna mtu kasema niseme au nifanye !! Ningekua waaina hiyo nahisi nisingekua ivi nilivo , kwaufupi mimi sio bendera Mdada. ,nikisema ujue nmesema mwenyewe ili niwe muhusika wanilichosema sio unaulizwa ,wee ulisema unaanza kuruka ruka ooohhhh namm niliambiwa.

Alafu ivi kumbe ulichukua serious ,nilivyokuambia mdogo wako niyule mlozaliwa naye tumbo moja mama na baba mmoja ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wa Dar mna mioyo ya kuku sana.

nilimaanisha ivi , najua baadae naweza kukuuliza Mzigua unapendelea Chupi na sidiria za rangi gani ? [emoji23][emoji23] kwamantinki yakwamba kama zawadi tu ,sasa kuniita mdogo wako ni kujaribu kunipa mazingira ya kutokuuliza kitu km iko..
Hehehee. Mi nilikuelewa bwana sema kuna watu zikafurahia hatari kwa jibu lile wakahisi tuna tatizo. Kiukweli nilimind ulivyokua unajibu kumfurahisha mti ila we good love
Cc Shunie
 
Back
Top Bottom