Weekend

Weekend

Hehehee. Mi nilikuelewa bwana sema kuna watu zikafurahia hatari kwa jibu lile wakahisi tuna tatizo. Kiukweli nilimind ulivyokua unajibu kumfurahisha mti ila we good love
Cc Shunie
Maishan mwako ukishajijua ukobsahihi ,na unamwelewa damu yako nomatter mtakua na lugha gan as long as unamwelewa Shunie Its okay hata kama atakuambiw " acha ushenzi wako " .. Mwenye hofu ndo atajipa ubize wakujaribu kufatilia hawa wamegombana au lah ( ila ukweli unaujua nyinyi ) .

Urafiki wangu naww niurafiki muhimu sana kiasi kwamba upo juu ya kila kitu kilichochangu , hivo kuhisi nalikua nasukumwa kusema ni kunipa laana isokua yangu.

Ivi ungekua mwanamme alafu kuna binti unamkubali ,then uyo binti akawa anakusalimia " Shikamoo Kaka " , siutajua anania ya kukunyima kitu??[emoji23][emoji23][emoji23].. Sasa kwa maisha haya ya vijana kufa ghafla bila hata mtoto ,kunahaja ya kunyimana?? .

Mimi nilikua najaribu kubomoa uo msingi ulotaka kuujenga , ninyime kwasababu situmii kilevi ,lkn sio kuninyima kwa kulazimisha undugu .[emoji23] [emoji23] [emoji4]
 
Kwa kutotumia kilevi nakunyima mazima Putin.
Napenda sex ya kunywa inanoga sanaa.
Kaa mbali na mie maana nitakuharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maishan mwako ukishajijua ukobsahihi ,na unamwelewa damu yako nomatter mtakua na lugha gan as long as unamwelewa Shunie Its okay hata kama atakuambiw " acha ushenzi wako " .. Mwenye hofu ndo atajipa ubize wakujaribu kufatilia hawa wamegombana au lah ( ila ukweli unaujua nyinyi ) .

Urafiki wangu naww niurafiki muhimu sana kiasi kwamba upo juu ya kila kitu kilichochangu , hivo kuhisi nalikua nasukumwa kusema ni kunipa laana isokua yangu.

Ivi ungekua mwanamme alafu kuna binti unamkubali ,then uyo binti akawa anakusalimia " Shikamoo Kaka " , siutajua anania ya kukunyima kitu??[emoji23][emoji23][emoji23].. Sasa kwa maisha haya ya vijana kufa ghafla bila hata mtoto ,kunahaja ya kunyimana?? .

Mimi nilikua najaribu kubomoa uo msingi ulotaka kuujenga , ninyime kwasababu situmii kilevi ,lkn sio kuninyima kwa kulazimisha undugu .[emoji23] [emoji23] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikuwa hutaki ukaka anaokuletea nimecheka mnooooo
 
Umenielewa kabisa ninakila sababu ya kusema you are such a woman ambaye you always think outside the box .

Yaan namaanisha ukisema kitu na kukisimamia una sababu nzuri nyuma yako , ivo usishangae hata ukiwa ktk intavyuu macho yotee yawe kwako, naninahisi wewe unakila sababu yakulipa jua sababu ya kwann linapaswa kuchomoza .
 
Back
Top Bottom