Weekend

Weekend

Issa Weekend.
bdcde1129e7d99b1569dfe5107111cb2.jpg
Kipande cha juu nitumie pm
 
Umenielewa kabisa ninakila sababu ya kusema you are such a woman ambaye you always think outside the box .

Yaan namaanisha ukisema kitu na kukisimamia una sababu nzuri nyuma yako , ivo usishangae hata ukiwa ktk intavyuu macho yotee yawe kwako, naninahisi wewe unakila sababu yakulipa jua sababu ya kwann linapaswa kuchomoza .
Hahhahahah Putin ulikuwa hutaki kabisa mazoea anayokuletea ya ukaka ukaka huo vipiiiii
 
Kwanini binti mzuri kama wewe unafanya hivi??
Kama unatumia njia ya maswali km haya huwezi kuja kutongoza ukampata mwanamke.

Asili ya mwanadamu nikutokua na uhuru pale anapoulizwa swali na anakuona km unajaribu kumshambulia .

Sasa km unabisha , muulize demu yoyote ... Wewe kabila gan ?? Akikujibu dierect shukuru.

Bora ungenisifia kidogo kwanza ...ushafel aseee.
 
Back
Top Bottom