Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewahi kutekwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewahi kutekwa ?
AaaaaaahKwani mkuu mimi siwezi kuwa member wa ofisi pia?laiti ungejua kwamba naweza kuwa boss kwenye hiyo office
Nimekuona na mtoto sehemu umembananisha ukutaniMamaa wa high heels nakuona nakuona[emoji5]
Sawa shemUsishtuke shem
Eenh na me nataka kuisikia hiyo sababuYes so take easy ,this is life its filled with ups and down , ukienda pale kuna makelele ,kule kuna umbeya ,hapa kuna vicheko pemben kuna vilio,mbele kidogo kuna mwanamme kafumwa ,kwajiran kuna ngoma za segele ..so nikuyachukua kama Yanavyokuja...
Ukinuna ,utakua na maisha mafupi ,,na kwa mwanamke km weee mie huwa nawambia mna "Mioyo ya malaika" , mkinuna hata hainogi ,unajua kwasababu gan??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me itabidi niwaige sijui nitaweza irudishe tuJaaaman,hahaha mi nikichambwa ndo nacheka zaidi[emoji23] ngoja niirudishe maana doh
Usiwaze shem wangu kipenzShemeji vipii tena mbona unanitisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaulizwa buree unachambwa wapiii mbona hatuoniMi nikikereka halafu namdharau mtu basi nacheeeka namuonea huruma sijui.
Kama saa hizi Shunie ananichamba nashindwa hata kucheka maana ananichamba afu nashindwa kumdharau maana ananichamba vya ukweli
Aaahahaa mtaa wa ngapNimekuona na mtoto sehemu umembananisha ukutani
Always am careless, nothing to fearPraise at your own risk. But be warned.
Hehehee. Mi nilikuelewa bwana sema kuna watu zikafurahia hatari kwa jibu lile wakahisi tuna tatizo. Kiukweli nilimind ulivyokua unajibu kumfurahisha mti ila we good loveHapana am kind of Man ,ambaye sitendi ,sioni ,siongei ,sisiki eti sababu kuna mtu kasema niseme au nifanye !! Ningekua waaina hiyo nahisi nisingekua ivi nilivo , kwaufupi mimi sio bendera Mdada. ,nikisema ujue nmesema mwenyewe ili niwe muhusika wanilichosema sio unaulizwa ,wee ulisema unaanza kuruka ruka ooohhhh namm niliambiwa.
Alafu ivi kumbe ulichukua serious ,nilivyokuambia mdogo wako niyule mlozaliwa naye tumbo moja mama na baba mmoja ??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake wa Dar mna mioyo ya kuku sana.
nilimaanisha ivi , najua baadae naweza kukuuliza Mzigua unapendelea Chupi na sidiria za rangi gani ? [emoji23][emoji23] kwamantinki yakwamba kama zawadi tu ,sasa kuniita mdogo wako ni kujaribu kunipa mazingira ya kutokuuliza kitu km iko..
We mkuu unachokitafuta sitakutetea huyo ni Mr wakeKwani mkuu mimi siwezi kuwa member wa ofisi pia?laiti ungejua kwamba naweza kuwa boss kwenye hiyo office
Mh mtoto gani sio mzigua tenaNimekuona na mtoto sehemu umembananisha ukutani
Hahahaha nimeficha vingi hapo kama umeng`amua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye vipimo vyenu
Mh shemAaahahaa mtaa wa ngap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusutwa sunna kwa mtoto wa kikeUtashutwa mscheeww