Ukaka huo vipiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mscheewww
Ahsante! [emoji23] [emoji23] [emoji23]kaikalia
Mkuu mita 100 ni nyumbani. Maanake mita 200 niondoke nyumba kabisa? ?Ongeza ziwe mita 200
Mweeeeh kitu gani hiko tena nimemzidiSafi thana , aina ya iman yako ,inanikumbusha mbali mchaga mmoja , alikua ananibusu public na anakuambia mimi siwajali wala nn.
Ila ww umemzidi kitu kimoja tu.
Mh kuwa seriousBasi mekuelewa wanyumbani. Nakuja mitaa ya bamaga toka basi wakunyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mita 100 ni nyumbani. Maanake mita 200 niondoke nyumba kabisa? ?
Unakika sababu ya kununua uwa la waridi nakuliweka ndani ,nakila siku asubuh ukalishika na kusimama nalo mbele ya kioo .[emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
Huwezi mkosa lazima tujue mapungufu yako hata kama watakuwa kumiSawa ngoja ninywe maji mengi pressure ishuke. Nlianza kuhisi namkosoa mtoto wa kitanga hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoo basi ngoja nizime simu nilale mkuu.kugeuzwa mwanamke ni hatari tupu.yaani umeniogopesha imebidi nitoe mashine niiangalie kwanza kama ipo.ucku mwema woote
Aiseee ikawaje sasaNi mwanamke huyo bhana..na account yake nyingine naijua na mbaya zaidi amenitaperi pesa alisema anadaiwa ada..tulikuwa wapenzi
Eeehhh anitongoze mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mkuu.baba mwenye mali anataka nikimbie hadi nyumbani kwangu aysee kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nini?nitag palikoanzia na hii id mpya?Nyie endeleen tu
Sawa shemHuwezi mkosa lazima tujue mapungufu yako hata kama watakuwa kumi