[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me jamani ngoja niwatakie usiku mwemaHela yangu vipi wewe mwanamke ..mapenzi.
Oya weee nyau ,acha upuuzi wako kutaka tutachufue uzi wawatu bure.
Nisubiri kwenye iyo ID ulonitongoza ,ili nikupige mzinga tena [emoji23] [emoji23] sawa baby mama.
Grow up kid.Mkuu acha kujishogesha
Punguza hasira we mwanamkeKazae na wewe
Kabisa kabisa. Heri ke ubadilishwe uwe me . napenda sana uanaume wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utatamani ukufwe ghafla
Uyu nyau ujue sijui wakuja !!!! Mimi mwanamme alafu kashupalia wee mwanamkeee ..mapenziii...hela yanguuuu .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me jamani ngoja niwatakie usiku mwema
Hawez kupata hiyo nafas kamweSimtaaki awe mke mwenzangu
Hivi mkijifanya hamuoni comments zake mtapungukiwa nini?mkaushieniNdio nliyempenda huyo. Unataka nkuchukue wewe ?
Shauri ake
Tutafanya hivo kuanzia sasaHivi mkijifanya hamuoni comments zake mtapungukiwa nini?mkaushieni
Babu akisemaga shekhe yule yule kasoro kanzu hua unamwelewaje?Uyu nyau ujue sijui wakuja !!!! Mimi mwanamme alafu kashupalia wee mwanamkeee ..mapenziii...hela yanguuuu .
Masikin akiibiwa anapiga yowe sana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Muache Ngabu wangu anamlea mtoto wetu. Halafu hata akibaki yatima hutachangia kitu tuliza mshono dadaa.Mwanao anakuhitaji naamini..ila hii kudanga itamuathiri sana maana aliyoniambia Ngabu yanatisha sana
Oooh uko poa lakini weweSina hasira rafiki angu
Daaahh Jolie J , ndo maana Mungu alikuumba ili uweze kunisaidia mahali ambapo nitakwama kuelewa .Babu akisemaga shekhe yule yule kasoro kanzu hua unamwelewaje?
Kashakula kufuliSawa babe nikaa kimyaa ajimalize tani yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye mafunzoBabu akisemaga shekhe yule yule kasoro kanzu hua unamwelewaje?
Mtoto akililia wembe..........Akalale sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapewa alichokitaka.