Weekend

Weekend

Mwanao anakuhitaji naamini..ila hii kudanga itamuathiri sana maana aliyoniambia Ngabu yanatisha sana
Muache Ngabu wangu anamlea mtoto wetu. Halafu hata akibaki yatima hutachangia kitu tuliza mshono dadaa.
Halafu mwambie Nyani Ngabu akwambie vizuri kuhusu mi na yeye I'm sure utakufa ukijua tuna raha kiasi gani sie wawili
 
Babu akisemaga shekhe yule yule kasoro kanzu hua unamwelewaje?
Daaahh Jolie J , ndo maana Mungu alikuumba ili uweze kunisaidia mahali ambapo nitakwama kuelewa .

Kuna siku niliandika mwanamke ni mtaji. Namtaji wenyewe ni akili yake.

Kwa unyenyekevu huku mikono nimeishikia kwa nyuma ,,naomba unieleweshe maana yake.
 
Back
Top Bottom