Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kwanini hutaki kusoma nyakati Mzigua jamani???Ni mpuuzi wala simpi kiki
Kasome iyo id inayokuvuta polepole......Ananijua kwa kunisoma humu helloo. What if I lied kama zilivyo ID zetu? Acha kuamini uongo mkuu.
Silent is the best answer to a foolNimekuelewa kipenzi. Ngoja niendelee kunywa mieee
Muache Ngabu wangu anamlea mtoto wetu. Halafu hata akibaki yatima hutachangia kitu tuliza mshono dadaa.
Halafu mwambie Nyani Ngabu akwambie vizuri kuhusu mi na yeye I'm sure utakufa ukijua tuna raha kiasi gani sie wawili
Achana nae my love. Apanic mpaka afe ila hatuachani ivoooDah! Pole sana aisee.
Kumbe hii takataka ya jalalani bado inakuandama?
Naona anataka kuyaamsha mashetani yangu sasa.
Halafu kaja na uzushi juu! Aisee!
Sijui hata ulimkosea kitu gani.
Ngoja nimwangalie...asipojirekebisha nafanya maangamizi!!!!
Achana nae my love. Apanic mpaka afe ila hatuachani ivooo
Wee nan huyo mtu wanguNi mpuuzi wala simpi kiki
Sie kwetu rahaaaa. Wapambane na hali zaoNadhani wakati mwingine hizi takataka za jalalani ni za kuzipuuza tu!
Ukijibizana nazo ni kujishusha hadhi na kuzipa kiki za bure!
Halafu hiyo ID kaiandikisha leo leo!
Anyway, acha ateseke na roho yake ya kutu.
Sie kwetu rahaaaa. Wapambane na hali zao
Ndo vile aandike mpaka vidole viote sugu ila sisi hatujali.Halafu mbona hana ujasiri wa kuandika na ID zake zilizozoeleka? Mpaka aje na ID mpya ndo anapata ujasiri wa kuja na uzushi wake humu!
What a pathetic dumb coward bitch!
Ndo vile aandike mpaka vidole viote sugu ila sisi hatujali.
Mbona sikuoni ulipo baby wanguShunie siku imeanzaaa.View attachment 724261
Upo na shem wangu shunie?Nipo Tegeta bby wangu