Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kabisaa...haya sema ulipo upate mbili za mwana blues mwenzioBasi sie wamoja
Wakunyumba nini lakini jamani nimeuliza tu mana hapo ndio kiwanja chao cha nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahhhhDavet hawezi kukukimbia
Sasa alipo utamtumiaje etiKabisaa...haya sema ulipo upate mbili za mwana blues mwenzio
Hahahaha napita tu hapa...nimemaliza chuo miaka mitatu iliyopita,basi tu maeneo haya siwez kuyasahauKwani we ni mwanafunzi wa udsm au nit
Yaan usikute wanawake zake hawana hata chura [emoji3][emoji3][emoji3]Karogewa chura
Oooh sawa bestHahahaha napita tu hapa...nimemaliza chuo miaka mitatu iliyopita,basi tu maeneo haya siwez kuyasahau
Yeye si mama wa ulozi atanifikia tu kwa mda mfupi hahahaha jokingSasa alipo utamtumiaje eti
Eeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama sisi tunavyopendaga wanaume wenye hela ila tunafall in love na watu hawawezi lila hata kodi ya mwezi ya nyumbaYaan usikute wanawake zake hawana hata chura [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na wengine wanafunziWengine wanaendaga hapo kuwinda wanachuo wakunyumba [emoji23][emoji23]
Wanawake zangu??!....Rafiki ina maana nina mke zaidi ya mmoja??[emoji32][emoji32][emoji32]Yaan usikute wanawake zake hawana hata chura [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo hivyoEeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama sisi tunavyopendaga wanaume wenye hela ila tunafall in love na watu hawawezi lila hata kodi ya mwezi ya nyumba
Rafiki si nakuonaga ukiwataka wenye chura sasa kama una mke mbona unawatamaniWanawake zangu??!....Rafiki ina maana nina mke zaidi ya mmoja??[emoji32][emoji32][emoji32]
Hahahaaaaah nimechanganya madesa hapo hahahahahahahaha pombe hizi jamanKwani mi nimekua mrs mshana Demiss?