Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zkizd mim na nduguyo tutaona namna ya kukusaidia.Yaan shemeji nitaachika nianze kuhangaika na hamu zangu na hamu zikizidi unakuwa kama chizi
Nipo zangu nimejilaza naangalia zangu big brother vyuma hivi sio vya mchezo mchezo eti naangalia tv na week end yote hiiShunie mama wa miheinken bia yangu pendwa...leo vip utakua unafyonza chozi la muholand pande zipi?
Shemeji mnisaidiaje tena unaanza unataka kuharibu kama janaZkizd mim na nduguyo tutaona namna ya kukusaidia.
Hahahaha subir naagin saa tatu, ila pasaka naomba nikupe mualiko wa kula mbuzi kutoka moshi pande za tabata....anza kuitafuta njaa kwanzia leoNipo zangu nimejilaza naangalia zangu big brother vyuma hivi sio vya mchezo mchezo eti naangalia tv na week end yote hii
Asante lakini pasaka sitakuwepo naenda kuila nyumbani kwetuHahahaha subir naagin saa tatu, ila pasaka naomba nikupe mualiko wa kula mbuzi kutoka moshi pande za tabata....anza kuitafuta njaa kwanzia leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda miracle jamani woiiiii nimuone tu ebu niache mieHivi hao wanaijeria unawaelewa nini wakunyumba?
Aaaarg...recommend basi mtu wakuziba pengo lako...wapi mziguaa???Asante lakini pasaka sitakuwepo naenda kuila nyumbani kwetu
WowwwTunashukuru kwa niaba yake
MmmmmhWengine wanaendaga hapo kuwinda wanachuo wakunyumba [emoji23][emoji23]
Nakupa mdogo wangu akuliwaze kidogoShemeji mnisaidiaje tena unaanza unataka kuharibu kama jana
Hiyo woiii ya kichaga kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda miracle jamani woiiiii nimuone tu ebu niache mie
Ngabu unanifanyaga nijione Queen ujue. [emoji8][emoji8][emoji8]
Youu...Nimepatwa
Mzigua ataniambia yaliyojiriAaaarg...recommend basi mtu wakuziba pengo lako...wapi mziguaa???