Weekend

Weekend

Imekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoni[emoji23] [emoji23] yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ile ya mwanzo iliniandama jamani kwahiyo kila unapoenda anakufata aje tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu ngoja ile I'd ya toka mchana iliyokuwa inanitukana mm na wewe si imepata ban au kafungua nyingine maana ilikuwa inaniandama

Hahahaaa

Watu ni mafisi sana aisee.

Kwa nini wanaogopa kukutukana na IDs zao zilizozoeleka?

Halafu hapo usikute unatukanwa sababu unamkwoti Ngabu na Mzigua!!
 
Imekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoni[emoji23] [emoji23] yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole mama
 
Sa ivi sasa sio kujiuza tena shunie,saiv mimi mimba yangu ilipatikania jumba bovu,mara bibi angu ananisubir makaburini jaman[emoji23] huku si kutafutiana ban jolie mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila wanakuaga kama wamekatwa vichwa ujinga wanaoandika
 
Back
Top Bottom